Breaking

Thomas Muller asogelea viatu vya mkongwe Miroslav klose kuelekea michuano ya kombe la dunia.

By Azizi-Mtambo 15

Zikiwa zimebakia siku kadhaa kuelekea michuano ya kombe la dunia, kutimua vumbi huko nchini Urusi, basi tuangalie wafungaji wa michuano hii.

Miroslav Klose,huyu ni Raia wa Poland, ila amekulia Ujerumani, ndio mfungaji wa muda wowote katika michuano ya kombe la dunia, amefunga mabao 16, katika michuano 4, aliyecheza.

2002.

Wakati kombe la dunia,linafanyika kule South Korea, alifunga mabao 5, katika michuano hiyo na alifungwa katika fainali na Brazil mabao 2-0.

2006.

Wakati fainali za kombe la dunia zikifanyika kule nchini kwao Ujerumani, mkongwe huyo Klose, alikuwa ameshafunga mabao 5, na kuibuka mfungaji bora wa michuano hiyo Ujerumani, alifungwa na Italy, kwenye mchezo wa nusu fainal mabao 2-0.

2010.

Wakati fainali za kombe la dunia,zikifanyika South Afrika, mkongwe huyo alikuwa ameshafunga mabao 4, katika michuano hiyo na Ujerumani, kutolewa nusu fainali na Spain kwa kufungwa bao 1-0.

2014.

Wakati fainali za kombe la dunia zilikifanyika nchini Brazil, mkongwe huyo alifungwa mabao 2, na kuvunja rekodi ya Ronaldo Delima na kuweka yake.

Sasa akiwa amestafuu kucheza soka kwa ngazi ya taifa, amecheza.

Michezo 24.

Mabao 16.

Ndo mfungaji wa muda wowote kwenye michuano hiyo.

Ronaldo De Lima ni Brazil , ndio mfungaji anayeshika namba mbili kwenye michuano ya kombe la dunia katika ufungaji.

1994.

Wakati kombe la dunia linafanyika Marekani, De Lima alikuwa mchezaji mdogo zaidi kushiriki michuano hiyo akiwa na umri wa miaka 17, akufanikiwa kucheza mchezo hata mmoja.

1998.

Wakati kombe la dunia, linafanyika Ufaransa, De Lima, alifunga mabao 4, huku fainali walifungwa na Ufaransa mabao 3-0.

2002.

Wakati fainali za kombe la dunia,zikifanyika nchini,South Korea, De Lima,alifunga mabao 8, na kuibuka mfungaji bora, na walitwaa kombe hilo kwa kumfunga Ujerumani, huku De Lima, akipiga bao 2.

2006.

Wakati fainali hizo zikifanyika nchini Ujerumani, De Lima, alifunga mabao 3, tu na kutolewa Nusu fainali dhidi ya Ufaransa, walifungwa bao 1-0.

Mpaka sasa De Lima,amestafuu soka amecheza.

Michezo 19.

Mabao 15.

Gerrad muller, ni Mjerumani, wakati michuano ya kombe la dunia ikifanyika nchini Mexico, zikiwa ndo fainali za kwanza kufanyika katika bara za Amerika Kusini.

1970.
Wakati fainal za kombe la dunia zikifanyika mexico, Alifunga mabao 10, tu na kuibuka mfungaji bora wa michuano hiyo na bingwa alitwaa Brazil, kwa kumfunga Italy , mabao 4-1.huku Ujerumani, alitolewa nusu fainali na Italy, kwa mabao 4-3.

1974.
Kombe la dunia lilofanyika Magharibu ya Ujerumani, Alifunga mabao 4, Muller, na alifunga bao la ushindi kwenye fainali  dhidi ya Italy 2-1.

Gerard Muller,amestafu soka amechezea.

Michezo 13.

Mabao 14.

Just Fontaine, huyu ni rai wa Ufaransa, wakati michuano ya kombe la dunia zikifanyika nchini Sweden, alibuka mfungaji bora alicheza kombe la dunia moja tu.

1958.

Wakati michuano hiyo ilifanyika nchini Sweden, ndo mchezaji anayeshikilia rekodi ya kucheza mechi ndogo na kufunga mabao mengi mwaka huo alibuka mfungaji bora mwaka huo Brazil, ndo alitwaa kombe hilo kwa kumfunga Ufaransa, mabao 5-2.

Fontaine, ameshastafu soka amecheza michezo

Mechi 6.

Mabao 13.

Pele, huyu ni rai wa Brazil, wakati michuano ya kombe la dunia linafanyika nchini Sweden, walitwaa kombe hilo Brazil, kwa kumfunga Ufaransa, mabao 5-2.

1958.

Wakati michuano hiyo inafanyika nchini Ufaransa, alifunga mabao 6, tu huku walitwaa akitoa ubingwa huo.

1962.

Michuano ya kombe la dunia, inafanyika nchini Chile, Pele ,alifunga goli 1 tu.na fainali alipoteza mbele ya Chile, kwa mabao 3-1.

1970.

Wakati michuano ya kombe la dunia inafanyika nchini Mgharibi ya Ujerumani, Pele, alifunga mabao 5 tu, na Brazil, kufungwa nusu fainali 4-1 na Italy. Na mfungaji bora kuibuka Gerrad Muller.

Pele,amestafu soka na amecheza michezo.

Mechi 14.

Magoli 12.



Kwenye orodha ya wachezaji wengine waliofunga mabao 11 ni kama ifuatavyo.

Jurgen klismani, huyu ni Mjerumani,

Michezo 17.

Mabao 11.


Sandro Kocsis, huyu ni Hungry,

Michezo 5

Mabao 11


Gabriel Batistuta, huyu ni Argentina,

Michezo 12

Mabao 10

Teofilo Cubillas, huyu ni Mperu,

Michezo 13

Mabao 10


Grzegorz Laro, huyu ni Mpoland,

Michezo 20

Mabao 10


Gary Lineker, huyu ni Muingereza,

Michezo 12

Mabao 10

Hao wote wachezaji wameshastafu soka soka kwa ngazi za klabu mpaka taifa.





Thomas Muller, ndo mchezaji peke ambaye ni Mjerumani, anachezea klabu ya Bayern munch, mwenye umri wa miaka 28, akiwa ameitwa katika kikosi cha Ujerumani, kitakachoenda Urusi, kwenye michuano ya kombe la dunia.ndo mchezaji ambaye huenda akavunja rekodi za wakongwe hao kufunga mabao mengi zaidi.



Amecheza kombe la dunia kwa miaka 2, na kufunga mabao 10.

2010.
Kombe la dunia lililofanyika South afrika, Mwaka alifunga mabao 5, na kutwaa kiatu cha dhahabu pia Ujerumani iliishia nusu fainali kwa kufungwa bao 1-0 na Spain.



2014.

Kombe la dunia zililofanyika nchini Brazil, Muller, alifunga mabao 5 na kusaidia Ujerumani, kutwaa kombe hilo.

Ana asilimia kubwa za kuvunja rekodi ya mkongwe miroslav Klose, ana kutengeneza ya kwake mwenyewe.


No comments:

Powered by Blogger.