Breaking

Maneno ya Didier Deschamps kuhusu Dimitr Payet.

By Azizi-Mtambo 15

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa,Didier Deschamp, amesema kuwa ameamua kumuacha mshambuliaji wa klabu ya Olympic Marseille, kuelekea michuano ya kombe la dunia ambayo itaanza mwezi ujao nchini Urusi.

Payet, alimuumia hapo jana kwenye mchezo wao wa fainali kombe la Europa, kati ya Olympic Marseille dhidi ya Athletico Madrid, Mchezo huo uliofanyika Ufaransa huko Lyon.

Payet, aliumia kipindi cha kwanza na nafasi yake ikachukuliwa na Lopez.

No comments:

Powered by Blogger.