Breaking

Pep Guardiola amemtolea uvivu Antonio conte

Kocha wa klabu ya Manchester city Pep Guardiola, amesema kuwa angependa shirikisho la soka la Fa linaanze kutumia teknolojia ya video assistant marefa imekuwa itawasaidia marefa ambayo wamekuwa wakipokea lawama mbali mbali kauli hi imekuja baada ya hivi karibun wamuzi wamekuwa wakikosolewa.

Kocha huyo alisema teknolojia hiyo itasaidia baadhi ya wamuzi ambayo wamepoke lawama mbali pia baadhi ya mashabiki pamoja na makocha wengine wamekuwa wakilalamika mambo mbali mbali husiana na mchezo wa miguu.

Guardiola alisema kuwa mpra umekuwa na utandawazi mkubwa sana na hi inapeleka wamuzi kushndwa kuemdana na kasi hiyo kuwa anaamini kifaa hicho kitawasaidia kuonana baadhi ya matukio mbali mbali wakiwa uwanjani.

"Alisema kuwa me binafsi napenda teknolojia hiyo msimu ujao itumike ili baadhi ya marefa waondoe lawama mbali mbali.

" alisema kuwa kuna baadhi ya matukio ambayo wamuzi wamekuwa yakitokea ndani na nje ya uwanja yamekuwa ni mabaya mno alisema kocha huyo".

Pia amemlaumu kocha wa Chelsea Antonio conte,pamoja na kocha wa Manchester united Jose mournho kwa kosa la kupinga kiaina uamuzi wa teknlojia hiyo ambaye inatumika msimu ujao.

Guardiola alisema kama mchezo wa wiki iliyopta Kati ya realmadrd vs juventus mwamuzi alipokea lawama mbali mbali kwa matukio yaliyojiri mule uwanjani teknlojia hiyo itasaidia msimu ujao na katika michuano mbali mbali.

No comments:

Powered by Blogger.