Breaking

Vita ya nusu fainal ya uefa ni kisasi

Azizi mtambo 15

Uefa champion league hatua ya nusu fainal kuendelea baada ya droo kutoka na zimebaki timu mbili 4 ambazo zitachuana na lazma zipatikane timu 2 za kwenda kucheza fainal.

Bayern munch miamba ya ujerumani imeangukia mikononi mwa real Madrid katika hatua ya nusu fainal mchezo huu utakuwa wakutana na shoka na kuvutia kutokana na ubora wa hizi timu tukumbuke pia mchezo huu utakuwa wa kulipa kisasi baada ya msimu uliopta miamba hiyo ya ujerumani kutolewa na real Madrid katika hatua ya robo fainal kwa kufungwa nje ndani.

Real Madrid na Bayern wamekutana Mara 4 na zote realmadrd akiibuka na ushindi na kumtoa miamba hiyo ya ujeruman tukumbuke mwaka 2014 wakati huo Bayern munch akinolewa na mspania Pep Guardiola alitolewa katika hatua ya nusu fainal kwa kufungwa mabao 5_0 na real Madrid kwenda hatua ya nusu fainal tukumbuke pia mwaka 2017 kocha Bayern munch pia alitolewa na real Madrid kwa kufungwa mabao 6_3 .tumeshuhudia kabisa real Madrid anakuwa bora akikutana na miamba hiyo ya ujerumani basi embu tuangalie rekodi za msimu huu safari za hizi timu zimeanzia wapi.

Bayern munch alkuwa katika kundi b alimalza nyuma ya psq akiwa na point 15 na kupoteza mchezo 1 tu katika hatua hiyo.

Real Madrid alipoteza mchezo 1 tu dhidhi ya vinara wa kundi hilo Tottenham alikusanya point 13.

Cristiano Ronaldo amekuwa na rekodi nzuri dhidhi ya Bayern munch katika mechi 9 amefunga mabao 9 .cristiano Ronaldo msimu huu amefunga mabao 15 katika mchuano hii amekuwa na rekodi nzur sana.

Mchezo huu utakuwa mzuri sana na kuvutia juppy heynckes vs zizzou.

Vita nyengine.

Liverpool watakuwa nyumbani kumkaribsha asroma katika dimba la anfield Liverpool wana rekodi nzur dhidhi ya asroma katika mchezo 5 amepoteza mchezo 1 na Liverpool akishinda miwili 1 ukiwepo ule wa fainal ya European cup mwaka 1983/84 walishinda kwa matuta.

Asroma hakuna mtu aliweza kuamini kama watafika hatua hii katika kundi lake alipangwa yeye athletico Madrid,Chelsea, qarabarg,aliweza kumfunga Chelsea mabao3_0 katika uwanja wake wa nyumbani akapoteza na athletico ugenini akaja kushnda na qarabarbg asroma mpka asaivi hawajapoteza mchezo hatua moja katika uwanja wake wa nyumbani.

Alimalza katika kundi akiwa kinara wa kundi c akiwa na point 11 huku akiwa akapoteza mchezo hata moja  katika ardhi ya kwao.kiukwely asroma wamekuwa na muunganiko nzur kwenye eneo La kiungo Radja naiggolan ,kelvin strootman,Deross wamekuwa chachu ya mafanikio. Ametoa Barcelona robo fainal kwa magoli ya ugenin hakuna mtu aliyetegemea hicho kitu mpra ndo ulivo.

Liverpool amekuwa na safu nzur ya ushambhuliaji msimu huu amefunga mabao 81 katika michuano yote salah kwenye mashndano ya uefa amefunga mabao 9 ,firmino mabao 9, saido mane mabao 7,ni wastani mzuri sana kwa Liverpool.

Liverpool katika kundi amemalza akiwa kileleni na point 12 katika kundi E na ajapoteza mchezo hata moja Liverpool katika hatua ya 16bora amemtoa fc Porto
Kwa mabao 5_0 .amekutana na Manchester cty katika robo fainal amemfunga juml ya mabao 5_1.

Mwisho wa siku utabir wangu fainal

Bayern munch vs Liverpool.

No comments:

Powered by Blogger.