Simba wainyemelea rekodi ya Azam fc .
Baada ya klabu ya Simba sports ,kumfukuza kocha wao Mcaremoon msimu huu katika na baada ya kufungwa na timu ya Green warrior's kwenye kombe la fa watu wengi waliongea mengi kuhusu timu hiyo na ikisubiri waone nin kitatokea katika klabu hiyo.
Omog alidumu kwenye klabu hiyo kwa msimu wa mwaka mmoja na nusu alika mwaka 2016/17 alimaliza kwenye ligi akiwa nafasi ya pili nyuma ya wapinzani wao yanga walichukua ubingwa huo.
Msimu wa mwaka 2017/18 omong aliendelea kuwa kocha wa simba alikuja kufutwa kazi baada ya kutolewa kwenye mashindano ya fa ya bongo alivokuja kufungwa na Green warrior wakati anaondoka watu wengi walijuuliza maswali mengi sana.
Lakini kiukwely simba walipagawa baada ya kuona wamekaa takribani miaka 5 bila ya ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na kutoshiriki mchuano ya kimataifa tukumbuke hiyo ndo kiu ya mafanikio yao.
Kocha huyo Omog alikuwa anapendelea mfumo wa 4_4_2 ni mfumo mzur kiuchezaji kila mchezaji anahitaji kufanya majukumu yake ambayo mwalimu amempangia Ila mfumo huo ni mzuri ukipata viungo wazuri eneo la kati nikimaansha no 6 kazi yake kuka tu na no 8 kazi yake kuchezesha timu hakuna majukumu mengine zaidi hayo?
Badaa ya Omog kuondoka klabu hapo timu ya simba akapewa msaidizi wake Masoud Djuma kocha huyu wakati anapewa timu kama kocha msaidizi wengi walisema kuwa simba wanamuanda mburundi huyu kuchukua mikoba ya omog jibu linakuja hapana?alipewa timu aiendeleze huku simba wakiendele kutafuta kocha mkuu Djuma aliongoza simba baadhi ya mechi na alifanya vizur mno?
Simba walivopata kocha mkuu kutoka Ufaransa Leichante Piere kocha huyu amekuwa na CV kubwa katika soka kwa ngazi ya taifa alifundisha Cameroon mwaka 2000 na kuwapa ubingwa wa kombe la CHAN.
Kocha huyu alikuja na mfumo wa 3_5_2 tumeshuhudia mfumo wake umezaa matunda mbali mbali na kuswtich wachezai wengine kutoka eneo hili kwenda eneo lengine huu mfumo unahitajia watu walio na vungu na kujituma zaidi kocha huyu kama tunavoiona simba imekuwa imara kwenye eneo la kiungo zaidi mwalimu amejaribu kujaza viungo wengi mno jonas mkude,kichuya ,kapombe ndo imekuwa silaha yake kubwa .
Mtu kama kapombe,ametoa kwenye eneo la full beki na kumpeleka katika eneo la kiungo kiukwely tunaona kabisa mwalimu ameleta manadiliko na munafaa zaidi kwenye eneo hili sikatai kuwa wengi mutasema kapombe ni kiraka sawa sipingani na nyie?Ila narudi pale pale mwalimu amemuona kapombe ni MTU sahihi na akaamua kumuamisha na kumpeleka eneo hilo la kiungo kwa sababu kuna vitu ameviona kwa kapombe Gyan ,amemtoa eneo la ushambhuliaji na kumpeleka eneo la beki wa kushoto au wings back amekuwa mzur na kufanya majukumu sio rahisi kugundua hicho kitu usipokuwa makini.
Msimu huu safu ya ushambhuliaji ya simba imekuwa na kiwango bora kabisa Emanuel okwi amefunga mabao 19 msimu huu ni idadi kubwa kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi hiyo John boccoa amekuwa na uhusiano mzuri mbele kwenye safu ya ushambhuliaji wamekuwa wakipokezana kufungwa jinsi wanavotaka wao bocco amefunga mabao 14 msimu huu shiza kichuya amefunga mabao 7 tumeona kabisa eneo hilo hawataki mchezo kwenye ufungaji .
Msimu huu simba hawajapoteza mchezo hats moja kwenye ligi hiyo mpaka sasa wamecheza michezo 24,wanapoint 58 hawajapoteza mchezo hata 1, kushinda 19 ni idadi mzur mno.
Safu yao ulinzi imeruhusu mabao 12 ni wastani mzur sana wamekuwa imara kwenye eneo la ulinzi likiongzwa na juko,Nyoni,pamoja na mpilipili.
Simba ya mwaka ya 2012 ilimalza ligi na kuchukua ubingwa wakiwa na point 62 na kipindi hicho zilikuwa timu 14 na walishinda michezo 19 droo 5 kupoteza 2 ni idadi mzur mno Mara ya mwisho kuchukua ubingwa msimu wa mwaka 2011/12 timu hiyo ikiongzwa na Patrick phiri .
Msimu huu zikiwa timu 16 kwenye ligi kuu Tanzania bara na michezo 32 ni idadi mzur sana kwa simba.
Simba kama watamaliza ligi bila ya kufungwa huenda wakaifikia rekodi ya azam kuchukua ubingwa wa ligi bila ya kupoteza katika msimu wa mwaka 2014/15 me naweza sema linawezekana hilo kwa simba hi ambayo Ipo katika ubora .
Zikiwa zimebaki michezo 8 ligi kufikia tamati sisemi kwamba simba bingwa hapana lakini wamekuwa na kiu ya ubingwa msimu huu
Tuangalie michezo 8 ya simba iliyobaki msimu huu kuelekea kwenye ubingwa.
20th April
Lipuli
Vs
Simba
29th April
Simba
Vs
Yanga
6th May
Simba
Vs Ndanda
13th May
Singida utd
Vs
Simba
19th May
Simba
Vs kagera sugar
26 May
Simba
Vs majimaji
Mwisho namaliza simba wawe makini mno wasijasahu lolote linaweza kutokea michezo 8 mingi sana kwenye ligi.
No comments: