Mzimu wa Nemanja matic na Diego Costa wamtesa Antonio conte klabu hapo.
Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte, amekuwa msimu mbaya sana katika ligi kuu England tofauti na msimu uliopta Chelsea msimu uliopta alichukua ubingwa kwa mshangao mkubwa sana na pengine nakumbuka hata kwenye zile utabiri wa msimu uliopta Chelsea hakuwepa nafasi kubwa mbele ya timu kama Manchester united,Manchester city,watu wengi waliamini hicho kitu kutokana na ubora wa makocha hao hawakumpa nafasi muitaliano huyu klabu hapo.
Wakati Conte anawsili msimu huu aliikuta Chelsea ambayo ilikuwa imeachwa na Jose mournho ikiwa imemaliza nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu kwa mana hiyo conte alikuja hakiwa ameikuta Chelsea sio mbovu bali ameikuta ikiwa imemalza nafasi za chini alkuja na kuanza kuitengeneza msimu huo alianza vibaya mno huku wapinzani wake Manchester cty walkuwa wameshinda michezo 6 mfululizo tuachane na Manchester city turudi kwa Chelsea hiyo.
Tukumbuke kuwa Chelsea kwenye msimu huo wa mwaka 2016/17 Mara ya mwisho alikuja kuamka baada ya kufungwa na arsenal mabao 3_0 September mwaka Jana katika dimba la Fly Emirates baada ya hapo Chelsea walishinda michezo 13 mfululizo na hakuna mtu aliamini ndipo safari yao ya ubingwa ilipoanzia hapo walkuwa bora baada ya kufiti kwenye mfumo huo wa 3_5_2 wakati anatua klabu hapo mwalimu huyo alimuomba victor Moses mchezaji ambaye walkuwa apati nafasi na kumwambhia kuwa ningependa ubaki na tufanye kazi ndipo mchezaji huyo alikubal na kuti ujumbe huo.
Chelsea ile ilkuwa kwenye ubora kwenye safu ya ulinzi ikiongzwa na David luiz ,Gary Cahill na Antonio rudgar, walitengeneza ukuta mgumu mno mfumo huu mwalimu huyo anaupenda kwa sababu umemletea matunda akiwa juventus nchini Italy.
Safu ya kiungo ilkuwa Ipo vizuri kwenye eneo hilo ikiongzwa na Nemanja matic, pamoja na Ngolo kante walitengeneza partnership nzur sana huku kuu yao akicheza kiungo mbunifu Cesc Fabregas walishirikiana zaidi eneo hilo.
Tukumbuke kwenye safu ya ushambhuliaji ikiongzwa na Diego Costa alkuwa ni mshambhuliaji bora alyekuwa anajaribu kuwafanya Chelsea kumsahau Didier Drogba alifunga mabao 20 katika ligi kuu England ni wastani mzuri kwa mshambhuliaji kufunga idadi hiyo.
Lakini msimu huu mwaka 2017/18 Chelsea alikuwa bingwa mtetezi lakini swali lazma ujiulze kocha huyo alistahili kumuuza nemanja matic, pamoja na Diego Costa jibu linakuja hapana?huwezi kuumuza mshambhuliaji aliyebora na kukusaidia kukupa ubingwa conte alisema Costa alikuwa mjeuri sawa yupo sahihi lakini alikuwa anaweza kumfanya abadilike zaidi kama kocha alishindwa kufanya hivo na matokeo kuumuza?Diego amefunga mabao 52 katika michezo 89 katika mashindano yote.
Aliona sahihi kwenda kumnunua Alvaro Morata, kwa kitita cha paundi million 60 kutoka real Madrid hivi kwely utamuachaje strike bora na kumununua Morata ?morata sio mbovu lakini ligi kuu ya England inahitaji mshambhuliaji anayeweza kupambana na mabeki mbele na kutafuta matokeo hicho kitu kwanza Morata hana kabisa cha pili Costa alikuwa anaogopewa na mabeki katika klabu mbalimbali kutokana na umahiri wake?chengine ujiulize je morata mabeki watamuogopa?jibu hapana kutokana na upole wake uwanjani.
Huwezi kumuachia kiungo aliyekusaidia msimu uliopta kukupa ubingwa wa ligi kuu England matic alikuwa kiungo mzuri zaidi alikuwa ashatengeneza pacha mzuri na ngolo kante eneo La kiungo? Cha ajabu amemuuza kiungo Hugo kwa mpizani wake Jose mournho kwa kitita cha paund million 40 utd waliweza kutoa hiyo pesa kwa haraka mno huku wakiamini kuwa ni MTU sahihi kwao?conte alishindwa kuzuia hisia zake huku akisema kuwa nimefanya kosa kubwa na alisikika akisema ntanunua kiungo mwengine atakae kuja kuziba nafasi ya matic?watu wengi walixubiri kumuona kiungo huyo mwisho wa Siku akatoa kitita cha paundi million 40 kumununua bakoyoko watu walijiuliza wengi mno utamuachiaje kiungo bora na kumununua Bakoyoko?.conte alikuwa anakurupuka kama mtu aliyetoka ndotoni vile.
Kiukwely kocha huyu amefanya maamuzi magumu na yamemgharimu Leo hi tunaona Chelsea katika ligi kuu ikiwa ipo nafasi ya 5 kwenye msimamo na kugombania top 4 kwely?me nafikiri safari imewadia kocha huyu.
Alitaka kutengeneza ufalme na kikosi chake ndani ya klabu ya Chelsea ila alishindwa kuendana na nyakati na muda wa alichokitaka kukifanya amebakia na kombe moja kombe la FA akiwa nusu fainal anatarajia kucheza na Southampton.
Msimu huu Morata amecheza
Michezo 27
Mabao 11
Hakuna kiungo yoyote aliyesajiliwa na klabu ya Chelsea ikiwemo Bakayoko,Drinking water hakuna hata moja alyefikia takwimu za matic msimu uliopta
Takwimu za matic msimu wa mwaka 2016 17.
Slide tackle 37.5%
Pass za usahihi 88%
Kupora mipira 1.84
Michezo 35
No comments: