Breaking

Vita ya mchezaji bora wa mwaka ndani ya epl.

Kiungo wa klabu ya Manchester cty Kelvin De bryune, pamoja na mshambhuliaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah,wameingia kwenye kinga'nyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ndani ya epl tuzo hiyo.

Baada ya mchezo wao wa Jana kiungo huyo wa Manchester city aliulzwa je unaweza kushnda tuzo hiyo akijibu kuwa naweza nikashnda lakini pia kumbuka hata Mtu ambaye nawania nae Salah yupo kwenye ubora ndani ya msimu huu itakuwa ngumu mno kwangu.

Msimu huu De bryune amefunga mabao 11 katika mashndano yote huku mpinzan wake wa karibu Salah amefunga mabao 40 katika mashindano yote msimu huu.

Tukumbuke zaidi hawa wachezaji wote katika timu zao wamekuwa ndo nyota au ndo tegemezi zaidi kwenye swala la kuamua matokeo.

De bryune ametengeneza assist 14 msimu huu katika ligi kuu England huku Salah akitengeneza assist 9 msimu huu Salah wamekuwa na wastani mkubwa wa kufunga magoli na Kelvin wamekuwa na wastani mkubwa wa kupika mabao tunaona kabisa kila mtu anajivunia katika eneo lake .

Kiungo huyu wa Manchester city anapewa nafasi mkubwa ya kunyakua tuzo hiyo kama klabu yake itatoa ubingwa wa ligi kuu msimu huu.wachezaji wengi mno wanaotoa tuzo hiyo wamekuwa timu zao zikitoa ubingwa wa ligi kuu nchini humo.

Msimu wa mwaka 2014 /15 kiungo wa Chelsea Eden hazard alitoa tuzo hiyo baada ya klabu yake ya Chelsea kutoa taji hilo nchini ya Jose mournho ,msimu wa mwaka 2015/16 Leicester cty walitoa ubingwa chini ya kocha Claudio Ranier na ngolo kante akatwaa tuzo hiyo msimu wa mwaka 2016/17 kiungo wa Chelsea ngolo kante alijiunga na Chelsea na kutoa tenah hizi ya mchezaji bora wa mwaka katika ligi hiyo je?kwa takwimu hizi nani kuchukua mchezaji bora wa mwaka katika ligi kuu England.

No comments:

Powered by Blogger.