Kocha wa timu ya taifa ya ureno, ataja kikosi chake kuelekea michuano ya kombe la dunia
By Azizi-Mtambo 15
Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos, ametaja wachezaji 23, watakaoenda kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Urusi, hapo mwezi ujao.
Goal kipa Anthony Lopal, Beto, Rui Patricio.
Mabeki Bruno Alves, Cedric Soares, Jose Fonte, Mario Rui, Pepe, Raphael Varane, Ricardo Pereira, Ruben Dias, Raphael Guerreira.
Viungo Adrien Silva, Bruno Fernandez, Joao Mountinho, Manuel Fernandez, William Carvalho.
Washambuliaji Cristiano Ronaldo,Andre Silva, Bernado Silva, Gelson Martians,Goncolo Guedes, Ricardo Quaresma.
No comments: