Breaking

Mtoto wa mfalme aliyewahi kusimamisha kombe la dunia.

By Azizi-Mtambo


Michuano ya kombe la dunia iliyofanyika Mwaka 1982, kule nchini Hispania, ilikuwa ndo Mara ya kwanza kushiriki michuano hiyo taifa la Kuwait's Mwaka 1982, walikuwa kwenye kundi namba 4 ambalo ambazo zilikuwa na timu kama Ufaransa, England, na Czechoslovakia,na Kuwait's.

Mchezo wa kwanza kwenye kundi hilo England, alishinda 3-1 dhidi ya Ufaransa, mchezo wa pili ulikuwa kati ya Slovakia dhihi ya Kuwait's mchezo huo ulisha kwa sare ya 0-0.

Mechi ya pili kwenye kundi hilo Kuwait's, na Ufaransa, Kuwait's, alifunga mabao 4-1 na Ufaransa, lakini goli la tatu la Ufaransa, ndo lileta utata wachezaji wa Kuwait's, walisimama na kudai kusikia filimbi ikimaanisha kusimama Kwa mchezo huo wakati Ufaransa, wakiendelea kucheza na kupiga bao la 3 dakika ya 78, goli lilifungwa na kiungo wa Ufaransa, Alain Giressa,ndipo ilipelekea wachezaji wa Kuwait's, kugoma na mwamuzi Miroslov Stupar, kutoka Urusi, alisimamisha mpira huku akianza kuzozana na wachezaji wa Kuwait's.




Rais wa Shirikisho la soka na pia ni mtoto wa Mfalme wa nchi ya Kuwait's, Sheikh Fahd Al-Ahmed Al-Shabah, aliingia uwanjani akizozana na Mwamuzi na kusimamisha mchezo huo na Mwamuzi aliamua kulikataa hilo goli na mchezo huo uliendelea Dakika ya 89, Ufaransa, walipata bao la 4 lililofungwa na Maxims Bossis, na mchezo huo kuisha kwa mabao 4-1.



Mwamuzi huyo alifungiwa kutojihusisha na mchezo wa soka katika maisha yake yote na pia Rais huyo na pia ni mtoto wa Mfalme, alipigwa faini Dola 14,000 ambazo ni sawa sawa na Shillingi 319,494,000 za kitanzania.



No comments:

Powered by Blogger.