Zikiwa zimebakia siku 16 kuelekea michuano ya kombe la dunia tufahamia viwanja vitakavotumika.
By Azizi-Mtambo 15.
Zikiwa zimebakia siku 16 kuelekea michuano ya kombe la dunia litakalofanyika Mwezi ujao nchini Urusi.
Shirikisho la Soka duniani FIFA, limetangaza kuwa michuano hiyo vitatumia viwanja 12 ambavyo mechi zitapigwa huko basi leo tuangalie kiwanja kimoja tu ambacho kinaitwa Kazan Arena stadium.
Kazan Arena Stadium, huu ni moja ya uwanja ambao unatarajiwa kutumiwa katika michuano ya kombe la dunia nchini Urusi, uwanja huu umejengwa Mwaka 2010, nchini Moscow huko Urusi, umetumia kitita cha Dolla za kimarekani 450 kutengenezwa uwanja huo uliokamilika Mwaka 2013, uwanja huo unaingiza idadi ya watu wasiopungua 45,379.
Uwanja huo upo katika mto wa Kazanka, pia uwanja huo upo katika jiji la Kazani, ambalo lina idadi ya watu 1.2 Million walio design uwanja huo ni kampuni ambayo inaitwa Populaus V. Motorini, ambao pia wali design uwanja wa timu ya taifa ya Uingereza, ambao unaitwa Wembley Stadium, pia wali design uwanja wa klabu ya Arsenal, Fly Emirates.
Kazan Arena Stadium, una vyumba vikubwa vya kuendesha mikutano ya uandishi wa habari na viongozi wa timu wakiwemo makocha kutumia vyumba hivyo ndo kiwanja chenye vyumba vikubwa na venye ubora wa kuendesha mikutano hiyo.
Katika kiwanja hichi zitapigwa mechi 6 kuelekea michuano ya kombe la dunia zikiwemo mechi za makundi na mechi za mtoano.
France
Vs
Australia .
Mchezo huo utapigwa June 16.
Iran
Vs
Spain .
Mchezo huo utapigwa Juni 20.
Poland
Vs
Colombia .
Mchezo huo utapigwa Juni 27.
Korea Republic
Vs
Germany.
Mchezo huo utapigwa Juni 27.
Na pia zitapigwa mechi za 16 bora na mechi za robo fainali.
Uwanja huo pia unatumiwa katika ligi kuu ya Urusi, timu ambayo inatumiwa uwanja huo ni Ruben Kazan, ambao mabingwa mara mbili katika ligi kuu ya Urusi.
Pia uwanja huo mchezo wa Kwanza wa ligi kuu katika uwanja huo ulipgwa Mwaka 2013,
Mchezo ulipigwa Tarehe 17/08/2014.
Ruben Kazan
Vs
Locomotive Moscow.
Goli la Kwanza lilifungwa na kijana mdogo kipindi hicho alikuwa na Miaka 18, anaitwa Aleksei Miranchunk, ambaye ni Mrusi.
Uwanja huo unaweza kufanyika matamasha kama ya Michezo, Muziki , Mpira wa kikapu, kuogelea, pia kuna vituo vya burudani vya watoto pia kuna shule ya lugha , kuna Cafe, na Mighawa, vitu vyote vinapatikana ndani ya uwanja.
Pia Mwaka 2017, uwanja huo mechi minne za mashindano ya kombe la Mabara.
Tarehe 18/June/2017.
Portugal
Vs
Mexico.
Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 2-2.
Tarehe 22/June/2017.
Germany
Vs
Mexico.
Mchezo huo ulimazika kwa sare ya 1-1.
Tarehe 24/June/2017.
Mexico
Vs
Urusi.
Mchezo huo Mexico, alishinda mabao 2-1.
Tarehe 28/June/2017.
Portugal
Vs
Chile.
Mchezo huo ulisha kwa sare ya 0-0
Portugal, alifungwa kwenye mikwaju ya penalty 3-0.
No comments: