Breaking

Arsenal wenger atangaza kuachana na arsenal mwisho wa msimu huu huku akiweka rekodi yake epl

Arsenal Wenger, ametangaza kustafu soka kwa ngazi ya klabu kocha huyu alijiunga na Arsenal tarehe 1/10/1996 alidumu kwa miaka 22 takribani  pia mkatab wake ulikuwa unafikia tamati mwisho wa msimu huu.

Arsenal Wenger alisimimamia klabu hiyo michezo 823 katika klabu hiyo na kunyakuwa mataji 10 katika michezo 823 ameshinda michezo 473 kupoteza 151 na kutoa droo 199 katika maisha ya ngazi ya kocha akiwa na klabu hiyo.

Kocha huyo ameshinda ligi kuu Mara tatu akiwa na katika klabu hiyo alishinda kombe la FA Mara 7 pia tunakumbuka mwaka 2003/04 aliweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutoa taji la ligi kuu England akiwa na rekodi ya kutopeza michezo hata moja(invisible).

Mpaka sasa wapo nyuma ya point 33 nyuma ya vinara wa ligi kuu Manchester cty ambao wana point 87 arsenal wapo nafasi ya 6 wakiwa na point 58 wakiwa nyuma ya wapinzani wao wakubwa Tottenham ambao wawo wapo nafasi ya 4 na wamewazidi arsenal point 14 na zikiwa zimebaki mechi 5 tu ligi kufikia tamati.

Arsenal wamefuzu hatua ya nusu fainali kombe la Europa watacheza na Athletico Madrid tarehe 26/04/2018 arsenal Wenger amekuwa kocha wa kwanza kushinda mataji ya ligi kuu na kombe la FA cup mara 4 katika misimu 9 ya mwanzo toka ajiunge na klabu hiyo.

Mchezo wao wa ligi kuu dhidhi ya Newcastle utd walipoteza kwa mabao 2_1 katika dimba la st James park arsenal ndani ya msimu huu wa mwaka 2017 /18 wamecheza michezo 5 wamepoteza michezo 5 kushinda 0 point 0.


Kuna baadhi ya makocha ambao wanawania kuchukua mikoba ya arsenal Wenger klabuni hapo akiwemo kocha wa zamani ya klabu ya Borrusia dortmound Thomas Tuchel  akiwemo Carlo Ancelloti,na kocha wa ujerumani Joachim loew.

No comments:

Powered by Blogger.