Breaking

Ukitaka kujua historia ya jose mournho katika maisha yake ya soka katika ngazi ya ukocha wake.

Joseph Mario Dos Santos Felix,amezaliwa tarehe 26/01/1963 ni rai wa Kireno ni moja ya makocha wenye hisitoria kubwa duniani katika ufalme wa soka barani ulaya.

Nina hili lilianza kuonekana zaidi baada ya kuipa Fc Porto ya chini Kule Ureno ubingwa wa uefa mwaka 2004/05 walivowafunga Monaco kwenye fainal hiyo Fc Porto ilkuwa ikiongzwa na baadhi ya wachezaji wakiwemo Deco De sourze,Nuno,Benny,Ricardo,Carvalho hao ndo baadhi ya wachezaji wa Fc Porto.

Mwaka unaofuata msimu wake wa pili akijiunga na klabu ya Chelsea chini ya bilionea wa Kirusi Roman Abrahamovic chini ya klabu yenye maskani ya London huko aliweza kupata mafanikio mbali mbali makubwa mno kama kubeba kombe la ligi kuu England Mara mbili mfululizo akiwa na wachezaji kama Frank lampard,Claudio Makelele, Didier Drogba,.

Ila sasa ukiacha mafanikio hayo mbali mbali alienda klabu ya Intermilan ipo mjijini Italy huko akaenda Real Madrid mjijini Spain huko na akarudi tenah Chelsea na sasa yupo Oldtraford mjijini Manchester united.

Ni muhimu mkubwa wa mpra wa kujilinda zaidi na kutumia nafasi ya mahitaji yake ni wachezaji wenye uwezo wa kukaba mwanzo mwisho hapo awali miaka ya nyuma alifanikiwa na kupata mafanikio mno.

Ila Mournho Huyo wa Manchester united kimsingi kakuta wachezaji wengi sio wa Karina yake ya wachezaji anaho wahitaji au sio rahisi wachezaji hao kuwatumia kwenye kujilinda zaidi na kupata mahitaji yake.

Jose kila mchezaji anahitaji akabe na kushambhulia zaidi aijalishi ni mzuri mno kiasi gani au una majukumu kiasi gani ndani ya uwanja.

Ndio maana hadi Leo hii ndani ya kikosi cha united ajapata kikosi cha kwanza na hi tu kwa sababu hamna wachezaji ambao anaamini watampa kile anahitaji.


Jose mpaka sasa ameshinda mataji 25 kwa ngazi ya klabu alizofundisha mpra katika miaka yake.



Fc Porto ameshinda makombe 6

Chelsea makombe 8

Intermilan makombe 5

Real madrda makombe 3

Manchester united makombe 3

No comments:

Powered by Blogger.