English premier league ni gumzo barani ulaya.
By Azizi mtambo15
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mchezo wa mpra wa miguu ligi kuu England sio kitu kigeni kwako ni moja ya ligi maarufu na inapendwa duniani na kufahamika.
Ufuatiliaji wake umekuwa mkubwa sana na ukilinganisha na ligi nyengine kimsingi hizi ni baadhi ya sababu tu.
1 matangazo ni baadhi tu ila upande wa matangazo ligi kuu England imefanikiwa zaidi na kujulikana duniani kote ni rahisi mno mtu kufanya ukaguzi na kuwekeza vitu mbali mbali mno hi ligi kuu imekuwa na mvuto na makampuni mbali mbali kuingia mikataba ya awali mfano tumeshuhudia supersport wanaonyesha ligi hiyo baada ya kuingia udhamini na kukubali kurusha matangazo mbali mbali.
Vilabu ligi kuu England imekuwa na mvuto zaidi kwa ushindani uliopo ukiachilia mbali team hizi pia angalia zinapambana kimsingi hi yote inachangiwa na mfumo uliopo hapo pengine wa malipo au mgao unatoa nafasi ata kwa vilabu hivo vidogo kuweza kuingia sokoni na kutafuta wachezaji ambao wapo kwenye ubora ni nzuri ata kama sio asilimia kubwa kimsingi.
Hivyo kuvutia watu kufuatilia zaidi pia vilabu vyake vingi vina base kubwa kwenye kujulikana ukiachilia mbali mbali hapo uingereza hi ni moja ya sababu pia kuwa na wafuatiliaji wengi zaidi kulinganisha na kwengine.
Ila kumbuka sijasema ligi kuu ipi ni bora ila nasema ligi maarufu na kupendwa zaidi na watu wengi.
No comments: