Breaking

Kuelekea mchezo wa bayern munch vs real madrd jua mambo kadhaa yafuatayo.

By Azizi Mtambo 15

Bayern munch Leo atakuwa nyumbani katika dimba la Allianz arena  mjijini ujeruman kumkaribisha mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo real madrd katika mchezo wa nusu fainal kwenye mashindano ya uefa champion league.

Kiujumla hizi timu zimekutana Mara 24 na kila moja ameshinda michezo 11 na sare 2 hivi karibuni real madrd amefunga Bayern munch mchezo 4 ya awali waliokutana na kutoka kifua mbele.

Real madrd akikutana na miamba hiyo ya ujerumani anakuwa kwenye  wa hali ya juu Mara zote anapomfunga Bayern Munch anaingia fainali na kutwaa kombe hilo.



Cristiano Ronaldo amewafunga miamba hiyo mabao 9 katika michezo 6 aliyokutana nao ndo mchezaji wa kuchungwa zaidi kuelekea mchezo huu.


Cristiano ronaldo jumla amefunga mabao 15 katika mashindano ya uefa msimu huu.

No comments:

Powered by Blogger.