Nyota ya countinho imepata nafasi ya kuangaza.
Philipe Countinho ,amezaliwa tarehe 12/06/1992 akiwa na umri wa miaka 26 pai ni nyota wa timu ya taifa ya Brazil na mzawa wa Rio De jeneiro,alianza maisha yake ya soka huko Vasco da gama tunapozungumzia timu ya taifa Brazil hapa tunazungumzia vipaji aswa vya mpra kama ilivokuwa kwa vizazi vilivyopita.
Kwa Mara ya kwanza akitokea nje ya mipaka ya Brazil pengine nje ya bars la south Amerika akajiunga na club ya miamba hiyo ya kipindi hicho Italy Intermilan ,kabla ya kutolewa kwa mkopo tena Vasco da gama alafu akaenda Espanyol.
Ni mwaka 2010/11 philipe countinho alijiunga na mabingwa hao wa kihistoria wa ligi ya mabingwa barani ulaya chini ya kocha Brednan Rodger ndo aliyemsajili kwa kitita cha paundi million 10 kwenye upande wa epl na kupewa nafasi ndoto na matarajio ya countinho,ni kuonyesha alichonacho na kusaidia club yake kupata mafanikio ni misimu zaidi ya 7 akiwa anfield huko ameishia kuwa bora kama mchezaji na kipenzi cha mashabiki wa Liverpool na sio mafanikio ya club ni uvumilivu ila sasa unaweza kuzuia kuondoka ila uwezi kumzuia matarajio yake countinho ana misimu 7 hakuna kombe lolote alilobeba akiwa na Liverpool.
Unaweza kumlaumu na kusema sio mvulimivu ila angalia upande wa pili matarajio yake kama mchezaji ni nin?matarajio yake kupata mafanikio katika kipindi cha maisha yake ya soka na kuandika hisitoria ya kukumbukwa zaidi pia unaweza kusema msaliti aipendi klabu hiyo?hapana anaipenda klabu hiyo na imemtoa imemfundisha mambo mazuri sana lazma atawakumbuka.
Philippe countinho, alijiunga na Barcelona January kwa kitita cha paundi million 142 na kuwa mchezaji wa tatu ghali duniani ni miezi mitatu tu tangu atue huko catalunya mjijini Barcelona amenyanyua kombe lake La kwanza na kufunga bao moja kwenye ushindi wa mabao 5_0 dhidhi ya sevilla kwenye mchezo wa fainal copa de ley ndani ya miaka 7 aliyedumu alistahili kuondoka hapo.
"Countinho ni moja ya wachezaji bora kabisa na pia naimani kuwa ataibeba Brazil kuelekea kombe la dunia baada ya Neymar kuumia" maneno ya kocha wa timu ya taifa ya Brazil Tite akisema hivo.
Countinho ana sifa kubwa mno akiwa uwanjani umahili wake wa kupiga chenga kutoa passi za madhara kufunga magoli yaliyobora kabisa.
Amechezea Liverpool
Mechi 152
Mabao 41
Makombe 0
Akiwa klabu ya Barcelona
Mechi
12
Mabao 2
Makombe 1
Imeandikwa na Azizi Mtambo 15
No comments: