Hawa ndo makocha wa kuiongoza psq msimu ujao.
By Azizi mtambo 15
Kocha wa klabu ya Psq Unai Emery, ametangaza kuwa mwisho wa msimu huu atachana na klabu hiyo kocha huyu aliyezaliwa tarehe 3/11/1971 akiwa na umri wa miaka 46.
Emery ,alijiunga na klabu hiyo akitokea nchini Spain katika klabu ya Sevilla pia tukumbuke kocha huyu alipa Sevilla ubingwa wa uefa ndogo Mara tatu mfululizo kabla ya kujiunga na Psq.
Alijiunga na miamba hiyo mwaka 2016 watu wengi waliamini kuwa kocha huyu atakuja kuleta changamoto katika michuano ya uefa champion league msimu huo alitolewa na Barcelona katika hatua ya robo fainal na Barcelona kwa jumla ya mabao 6_3 mchezo wa kwanza Psq walibuka na ushindi wa mabao 3_0 na kila mtu alianimi miamba hiyo inaweza kusonga mbele lakini mchezo wa pili walifungwa mabao 6_0 na kutupwa nje kwenye michuano hiyo.
Msimu wa mwaka 2017/18 Kocha huyu alimsajili mshambhuliaji wa klabu ya Barcelona kwa kitita cha paundi million 198 na kumfanya awe mchezaji ghali duniani pia alimsajili mshambhuliaji wa klabu ya Monaco klyian Mbappe kwa mkopo lakini mwisho wa msimu huu wanalipa kitita cha paundi milion 166 pia walifankiwa kumsajili beki wa klabu ya juventus Daniel Alves wengi mno waliamini kuwa kocha huyu amekuja kuvunja ufalme wa Barcelona na real Madrid baada ya kufanya usajili wa maana msimu wake wa pili.
Alipangiwa na Real Madrid katika hatua ya robo fainal wengi mno waliamini ubora wa Psq ungeweza kumtoa real Madrid na kusonga mbele michezo wa kwanza uliofanyika katika dimba la Estadio Santiago bernabeu walifungwa mabao 3_1 na mchezo wa marudiano walifungwa mabao 2_1 jumla kutolewa kwa mabao ndo fainal ya msimu huu 5_2.
Kabla ya mchezo huu rais wa klabu ya Real Madrid Fiorentina Perez alisikika akisema kwamba huo mchezo ndo fainal ya msimu huu katikaa mashindano ya uefa aliamini ubora wa klabu hiyo.
Emery ,ameiongoza klabu hiyo michezo 109 na kushinda michezo 86 ,droo 12, na kupoteza 11, na wastani wa ushindi 78.9.
Kuna makocha ambao wanatajwa kuchukua mikoba yake akiwemo kocha wa klabu ya Arsenal ,Arsene Wenger ambaye ametangaza mwisho wa msimu huu ataachia ngazi kwa kuiongoza klabu hiyo kwa miaka 22.
Kocha wa klabu ya zamani ya Borrusia Dortmound Thomas Tuchel alifutwa Nazi na klabu hiyo.
No comments: