Breaking

League kuu england kutimua vumbi.

By Azizi Mtambo 15

Ikiwa Leo ni tarehe 27/04/2018 ligi kuu England kuendelea na michezo 7 katika viwanja mbali mbali.


Mchezo wa kwanza utakuwa kati ya

Liverpool vs stoke city

Saa 14:00 kamili

Liverpool atakuwa uwanja wa nyumbani kumkaribisha stoke cty.Liverpool akiwa nafasi ya 3 na alama 71 huku stoke city akiwa yupo nafasi ya 19 akiwa na alama 29.



Burnley atakuwa nyumbani kumkaribisha Brighton michezo huo utapgwa katika dimba la Turmoor majira ya saa 17:00 jioni.

Burnley akiwa nafasi ya 7 na alama 53 huku Brighton akiwa nafasi ya 13 akiwa na alama 36.





Crystal palace atakuwa nyumbani kumkaribisha Leicester cty mchezo huo utapgwa majira ya saa 17:00 jioni.

Crystal palace yupo nafasi ya 14 akiwa na alama 35 huku Leicester cty akiwa yupo nafasi ya 9  na alama 44.


Huddersfield atakuwa nyumbani kumkaribisha Everton mchezo huo utapgwa kwenye majira ya saa 17:00.


Huddersfield akiwa nafasi ya 16 akiwa na alama 35 huku Everton yupo nafasi ya 8 akiwa na alama 45.





Newcastle atakuwa nyumbani st James park kumkaribisha westbromic mchezo huo utapgwa majira ya saa 17:00 kamili .


Newcastle akiwa nafasi ya 10 akiwa na alama 41 huku westbromic akiwa anaburuza mkia akiwa na alama 25.




Southampton atakuwa nyumbani st Marys park kumkaribisha Bournemouth mchezo huo utapgwa majira ya saa 17:00 jioni .


Southampton akiwa nafasi ya 18 akiwa na alama 29 huku Bournemouth akiwa nafasi ya 11na alama 38.


Mchezo wa mwisho utakuwa Swansea atakuwa nyumbani libatery stadium kumkaribisha Chelsea mchezo huu utapgwa saa 19:30 .



Swansea akiwa nafasi ya 17 akiwa na alama 33 huku Chelsea akiwa nafasi ya 5 na alama 63.

No comments:

Powered by Blogger.