Breaking

Kelvin Yondani uso kwa uso na shirikisho la soka la TFF.

By Azizi Mtambo15


Beki na nahodha wa klabu ya Yanga afrikana Kelvin Yondani,huenda akakumbana na adhabu kali baada ya kumtemea mate beki wa klabu ya simba Asante kwasi, tukio hilo liltotokea kipindi cha kwanza wakati beki huyo Kwasi akienda kushambhulia mpra wa adhabu langoni mwa yanga.



Tukio hilo mwamuzi alishindwa kuliona kwa sababu alikuwa mbali mno lakini mkanda wa video uliorudiwa alionekana nahodha huyo wa klabu ya yanga akifanya hivo.




Pamoja na kunusurika kupata kadi nyekundu kwa kitendo hicho beki huyo anaweza kukutana na adhabu Kali kutoka kwenye shirikisho la soka la Tanzania .



Beki huyo atapgwa faini ya laki tano na kufungiwa mchezo mitatu kwa kosa hilo ilikuwa sio kitendo cha ungwana zaidi kwenye mpra ,mpra sio vita mpra ni burudani.

No comments:

Powered by Blogger.