Breaking

Mohamed salah aingia matatani na chama cha soka cha FA.

By Azizi Mtambo 15



Mshambhuliaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah, huenda akakutana na shirikisho la soka la England.




Mshambhuliaji huyu baada ya kuonekana kwenye mkanda wa video kumpga kiwiko beki wa Stoke city hapo jumamosi walivocheza katika uwanja wa Anfield mchezo huo uliyomaliza kwa 0-0.



Salah alionekana kipindi cha kwanza kucheza rafu hiyo huku mwamuzi aliyecheza pambano hilo kelvin Friends, hakuliona tukio hilo.



Mpaka sasa zikiwa zimebakia michezo 2 tu ligi kuu England kuisha huku Salah aliyefunga mabao 31 msimu huu katika ligi kuu England akiwa kama kinara.


Salah ,atakuwa na adhabu ya kupigwa faini na kufungwa michezo 3 kwa kosa la utovu wa nidhamu ikiwa imebaki michezo miwili na mchezo moja kama atafungiwa basi atakosa msimu ujao.

No comments:

Powered by Blogger.