Breaking

Klopp mahitaji ya salah ni zaidi ya ufungaji bora.

Jurgeon Klopp,amezaliwa tarehe 16/6/1967 akiwa na umri wa miaka 50 hivi sasa kocha huyu ni rai wa ujerumani.




Mjerumani huyu yeye na benchi la ufundi awakufanya makosa kuelekeza macho na mahitaji yao kwa rai huyu wa Misri Mohamed Salah,ambaye mpaka sasa kavunja rekodi kadhaa ya magwiji wa kiafrika waliocheza premier league.






Ikiwemo rekodi ya mshambhuliaji wa zamani wa klabu ya Chelsea Didier Drogba,ndo alikuwa muafrika wa kwanza katika ligi kuu England kufunga mabao mengi ndani ya msimu moja alifunga mabao 29 ndani ya msimu wa mwaka 2008/09 mpaka sasa salah ,amefunga mabao 31 na kutengeneza ufalme wake kwenye ligi hiyo kwa ngazi ya wachezaji wa afrika.






Liverpool ikiwa katika vilabu venye historia nzuri tu ila kwa sasa si kaza karibu ikikosa kukata kiu ya mashabiki wa Liverpool huko Merseyside.






Wamepita wazuri wengi ila Liverpool imekuwa kama daraja la wao kwenda sehemu nyengine nguvu ya Liverpool kuwafanya bora imeenda kunufaisha watu wengine kabisa cha kujifunza wachezaji ni mafanikio na sio kucheza tu wanahitaji kuwa profile nzuri ili wakistafuu wawe na heshima kubwa.







Salah uyu ni moja ya usajili bora za kiangazi ikaja team ile ile iliyomfanya Torres,Suarez,pengine kuwa bora kama wao na sio mafanikio ya team kupitia wao Klopp,hili la kutazama kuifanya hi lulu kwa salah,kutofikiria nje ya anfield siri ya mafanikio kumpa kile kile kimewaondoa kina Suarez,na wenzao wa Liverpool ufungaji bora autoshi zaidi ya kuwa manufaa ya mtu binafsi ata Suarez ,alifanya hivo Leo hi yupo wapi.




Msimu huu teyali mchezaji huyo amefunga mabao 31 katika ligi kuu England na kufunga mabao 40 katika mashindano yote pia amefikia rekodi waliyowahi kuweka kama wakina Alan shearer mwaka 1995/1996 ,Cristiano ronaldo msimu wa mwaka 2007/08 na Luis Suarez msimu wa mwaka 2013/14 wote hao walifunga mabao 31 katika msimu moja .




Salah amechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Mara 3 katika ligi kuu England.




Klopp jifunze kwa yaliyotokea ili kujenga ufalme wa salah ,anfield na sio nje ya hapo nyakati hazirudi nyuma na hazisubiri timu



Hi makala imeandikwa na azizi mtambo 15

No comments:

Powered by Blogger.