Timu ya taifa ya uingereza yapata pigo kuelekea kombe la dunia.
By Azizi Mtambo 15
Kocha wa klabu ya Liverpool jurgeon Klopp,amesema kuwa mshambuliaji wake Alexis Oxlain Chamberlain atakosa mwenye umri wa miaka 24 atakosa michezo yote iliyobaki katika ligi kuu England baada ya kupata majeraha ya goti kwenye mchezo wao wa uefa champion league hatua ya nusu fainali dhidhi ya Asroma mchezaji huyu alipata majeraha na nafasi yake kuchukuliwa na kiungo George Winjuildm katika kipindi cha kwanza.
Katika mchezo huo klabu ya Liverpool ilifanikiwa kushinda michezo huo kwa mabao 5_2 na kujiekea matumaini kuwa watasonga mbele kwenye michuano hiyo ya uefa champion league.
Kocha wa timu ya taifa ya England South gate,amesema kuwa taifa hilo limepata pigo kubwa kuelekea kombe la dunia litakalo fanyika mjijini urusi kwa kumpoteza mshambuliaji huyu maridadi kabisa.
Pia kocha huyu amesema kuwa kuna wachezaji wawili ambao wanawania nafasi ya kiungo huyo aliyepata majeraha akiwemo kiungo wa klabu ya Newcastle Jonjo shevley,pamoja na kiungo wa klabu ya Crystal palace Leftus cheeck hawa ndio wachezaji wanaowania nafasi hiyo.
No comments: