Kuelekea mchezo wa yanga kesho dhidhi ya walayta dicha yafahamu mambo kadhaa.
Walayta Dicha lianzisha mwaka 2009.
Katika msimu wa mwaka 2016/17 Walayta Dicha iliweza kuchukua ubingwa wa kombe la Ethiopia ambapo walipata nafasi ya kuweza kushiriki michuano ya kombe la shirikisho.
Mzunguko wa kwanza alipangiwa na Zimamoto ya kule Zanzibar alimtoa kwa mabao 2_1 na klabu hiyo kwenda hatua nyengine inayofuata.
Pia walimtoa Zamalek mchezo wa kwanza walishinda nyumbani 2_1 na mchezo wa pili kupoteza lakini waliweza kufukuzu kwa kushinda kwenye mikwaju ya penalti.
kuelekea mchezo wa kesho Yanga wanatakiwa wawe makini mno mchezo wa kwanza uliofanyika nyumbani katika uwanja wa taifa jijini Dar-es_salaam waliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2_0 na kutumia uwanja wa nyumbani vyema zaidi hili swala la kupoteza mchezo katika ardhi ya nyumbani kwenye mashindano ya kimataifa limekuwa mbaya mno zaidi hakuna kitu kizuri zaidi kama kuanza nyumbani na kutumia uwanja wako vyema unakupa hamasa na kujituma zaidi lakini klabu zote zimeshndwa kufanya ivo.
Yanga anakwenda ugenini akiwa na faida kubwa sana kwa kuongoza 2_0 lakini awe makini mno zaidi tulishuhudia mchezo wa kwanza Walayta Dicha waliweza kutengeneza nafasi zaidi kwa mpra ya mirefu zaidi lakini umaliziaji ulkuwa mbovu zaidi kwenye eneo hilo lbda niseme timu hiyo labda ilikuja kutafuta droo ya magoli pengine niseme hilo walishindwa kutokana na yanga kuijipanga zaidi katika eneo la safu ya ulinzi.
Yanga wamesafiri na wachezaji 20, pamoja na viongozi 8 pia timu hiyo imekumbwa na majeruhi zaidi watamkosa mshambhuliaji wao Ibrahim Ajibu,Musa kabwil ,pamoja na Saidi Mussa ambaye anaenda kutumikia Ngorongoro heroes.
Nahodha wa klabu hiyo beki Nidar Haroub canavaro alisema kuwa mchezo wa kesho utakuwa muhimu sana kwa kuliko hata wa tarehe 29 mwezi huu dhidhi ya wapinzani hao wakubwa Simba sport's klabu.
Yanga kama atafuzu hatua ya makundi atavuna pesa nyingi mno basi tuangalie pesa hizo zimegawanyika.
Milion 80 kutoka kwa shirikisho la soka CAF watampa klabu hiyo kama mshindi ambaye amefuzu kwenda hatua ya makundi.
Million 400 kutoka kwa wadhamini hao wa sportspesa ambayo wameingia nao mkataba hivi karibuni.
Million 53 kutoka kwa wadhamini ambao wanadhamini ligii hiyo ni kampuni ya vifaa.
Benchi la ufundi litaongzwa na kocha msaidizi Shadrack Nsajigwa,pamoja na kocha wa makipa Pondamali.
Mwisho niseme kila timu ina nafasi kubwa ya kufukuzu kwenda hatua nyengine ni mchezo mgumu.
No comments: