Breaking

Yanga yafuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho africa kwa mamilion ya pesa.

Klabu ya yanga sc kutoka nchini ,Tanzania alibaki kama yeye ndo muwakilisha kutoka nchini kwetu kwenye kombe la mashariki barani afrika.

Imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi katika kombe la shirikisho barani afrika mchezo huo ulipigwa Leo katika mjiji wa Ethiopia katika kiwanja cha Hawassa,mjijini Ethiopia yanga imesonga mbele kwa mabao 2-1 baada ya mchezo wa kwanza uliopgwa hapa jijini Dar-es-salaam kwa yanga kushinda  mchezo.

Mchezo wa Leo yanga walikubali kipigo cha cha bao 1_0 ndani ya dakika ya 3 kufungwa kwa kona iliyowapita mabeki wa klabu hiyo na kumkuta mshambhuliaji wa walayta dicha Djako Arafata na kufunga bao hilo mchezo ulienda kwa walayata kutengeneza nafasi na kushambhulia kwa kushutukiza huku yanga wakicheza kwa kujilinda na tahazari kubwa sana yanga walitengeneza nafasi lakini umahili wa mabeki wa timu pinzani walisimama imara na kucheza vizuri.

Kipindi cha pili yanga walianza kwa kasi kubwa mno kushambhulia na kutengeneza nafasi lakini ulikuwa sio umakini wa mshambhuliaji wa yanga Mzambia Obrey Chirwa,na kushindwa kutumia nafasi hiyo mchezo ulikuwa na kasi mno timu zote zilishambhulia kwa umakini zaidi lakini uimara wa safu zao za ulinzi ilisaidia sana.

Naipongeza sana yanga kwa kufuzu kwenda hatua ya makundi hi ndo faida ya umuhimu kutumia uwanja wako wa nyumbani mchezo wa kwanza yanga walipata matokeo mazuri sana na kupata hamasa ya kwenda kupambana ugenini.

Yanga wamevuna pesa zifuatazo kwenye mashindano haya .

Itapata kitita cha dola za kimarekani 55,0000 ni zaidi ya billion 1.1 za kitanzania pia kama yanga watafuzu kuingia hatua nyengine wataweza kuvuna bilion 2.5 na mshindi wa pili atapata Dola 2.5 na atakaechukua kombe hilo atavuna Dola 5 .

Kikosi cha walayata kilikuwa kama ifuatavyo.Wondwosen Babsa, Teklu Kumma,Zelelem Wolebo, Jared Yarfa ,Djako Arafat, Tsefu Eyama, Amralo Arsicha, Medelecho, na Haymanot Tesfaye,.

Kikosi cha yanga kama kifuatazo.
Youth Rostand ,Hassan kessy, Haji mwinyi, Abdallah Shaibu, Kelvin Yondani,Pappy Kambamba, Obrey chirwa,Kamusoko, Yusufu mhilu .

No comments:

Powered by Blogger.