Breaking

Mashabiki wa Barcelona pamoja na wachezaji wamlilia Andrei iniesta.

By Azizi Mtambo 15

Kiungo wa klabu ya Barcelona Andrei Iniesta, ametangaza kuondoka klabu hapo baada ya msimu huu kumalizika.

Iniesta mwenye umri wa miaka 33, amedumu kwenye klabu hiyo kwa miaka 22 na huku akichukua vikombe 31 na timu hiyo.



Ameichezea Barcelona michezo 669 tangu acheze mechi yake ya kwanza mwaka 2002 akiwa na umri wa miaka 18.



Kiungo huyu ametangaza uamuzi huo huku akitokwa na machozi mbele ya mkewe watoto wake na wachezaji wenzake.




Baada ya kuondoka anatarajiw kujiunga na Chongging Dangdoi ya ligi kuu china.

No comments:

Powered by Blogger.