Simba vs yanga gumzo taifa.
By Azizi Mtambo 15
Siku ya jumapili tarehe 29/04/2018 vinara wa ligi kuu Tanzania bara Simba, atakuwa uwanja wa taifa jijini Dar-es-salaam kumkaribisha mabingwa wa kihisitoria yanga katika mchezo wao wa ligii kuu mchezo huu unatarajiwa kuwa wenye upinzani mno kutokana na hisitoria za timu hizi mbili.
Katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara Simba akiwa kileleni na alama 59 anayefuatiwa na yanga akiwa na alama 48 ni tofauti ya alama 11lakini pia tukumbuke kuwa yanga ana michezo 2 mikononi ambayo kama watafanikiwa kushinda yote miwili watakuwa na alama 54 wakiwa bado nafasi ya pili ni michezo muhimu sana kwa yanga.
Yakitokea mazingira kama hayo huenda michezo ya lala salama ndio ikaamua hatma ya ubingwa msimu huu katika ratiba ya yanga mwisho wa mwisho anacheza na Azam fc katika uwanja wa taiga jijini Dar-es-salaam, huku Simba kuikabali majimaji katika uwanja wa songea .
Sasa embu tuangalie ratiba za michezo ya yanga kabla hajaenda kucheza na Simba wakiwa wamebakia na michezo 6
Yanga vs mbao (nyumbani)
Yanga vs mtibwa sugar(ugenini)
Mwadui vs yanga(ugenini)
Prison vs yanga(ugenini)
Ruvushooting vs yanga(nyumbani)
Azam vs yanga(nyumbani)
Wakati Simba itabaki na michezo minne
Simba vs Ndanda fc (nyumbani)
Singida united vs Simba(ugenini)
Simba vs kagera sugar (nyumbani)
Maji maji vs simba (ugenini)
Msimu huu simba amekuwa na msimu mzuri mno kuliko mpinzani wake yanga yanga inahitaji ipate ushindi kwenye mchezo wao jumapili ili ijihakikishie matumaini ya kutetea taji lake tenah msimu huu yanga msimu huu amekutana na changamoto nyingi sana ambazo zimeharibu mipango yao .
Simba kwenye mchezo huo inahitaji droo ya aina yoyote ile ili ijahakikishie ubingwa msimu huu .
Mwisho nasema siku zote derby hazitabiriki tukutane jumapili.
No comments: