Breaking

Kuelekea mchezo wa nusu fainali kati ya Real madrdi vs Bayern munch tuyafahamu haya.

By Azizi Mtambo 15



Real madrd Leo atakuwa nyumbani katika dimba la Estadio Santiago Bernabeu ,kumkaribisha Bayern munch kwenye mchezo wa marudio wa hatua ya nusu fainali mchezo wa kwanza uliofanyika katika dimba la Allianz Arena real madrid walibuka na ushindi wa mabao 2_1.









Bayern munch wanaingia kwenye mchezo huu kuwakosa nyota wake kadhaa akiwemo beki wao Jerome Boateng, na mshambhuliaji wao Arjean Robben,wote walipata majeruhi kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika mjijini Arena, nafasi zao zilichukuliwa na Sule, Alcantara,.





Huku real madrid wanaingia kwenye mchezo hu akiwakosa nyota iscoAlcron, Daniel carvajal,waliyopata majeraha.





Bayern munch wameshaondolewa kwenye michuano ya ulaya Mara nne mfululizo na timu za Spain tuangalie hizo timu na zimemtoa Bayern munch hatua gani.

 




Msimu wa mwaka 2014 real madrid alimtoa Bayern munch kwa jumla ya mabao 5_0 mchezo wa kwanza uliofanyika Alianza Arena miamba hiyo ya ujerumani walifungwa bao 1-0 na mchezo wa pili wakapigwa 4_0 na real madrd kusonga mbele kwa mabao 5_0.





Msimu wa mwaka 2015 Barcelona alimtoa Bayern munch kwa jumla ya mabao 3_2 mchezo wa kwanza uliofanyika Nou camp Barcelona walibuka na ushindi wa mabao 3_0 lakini mchezo wa pili walifungwa 3_2 na kufuzu kwa Barcelona.




Msimu wa mwaka 2016 alitolewa na Athletico Madrid kwa jumla ya mabao 2-1 mchezo wa kwanza uliofanyika mjijini Vincent Calderon kipindi hicho athletico walipata ushindi wa bao 1-0 mchezo wa pili alifungwa na kufuzu kwa mabao ya ugenini.




Msimu wa mwaka 2017 Bayern munch alifungwa na real madrid nje ndani na jumla ya kutolewa kwa mabao 5_2 mchezo wa kwanza walifungwa mabao 2_1 na mchezo wa pili walipgwa 3_1.




Bayern munch alifanikiwa kuzitoa timu za Spain Mara 2 tu katika misimu 6 waliyokutana 


Msimu wa 2011/12 alimtoa real madrid kwa mikwaju ya penalty na kutinga fainali.






Msimu wa mwaka 2012 /13 alimtoa Barcelona kwa mabao 7_0 na kutinga fainali.




Mchezo wa Leo atakuwa marudiano akiwa Bayern munch mchezo wa kwanza ashapoteza 2-1 je ataweza Leo kumaliza ukame huo.












No comments:

Powered by Blogger.