Alichokisema Rivaldo kuhusu Neymar.
By Azizi -Mtambo 15
Gwiji la soka Brazil, na klabu ya Barcelona, Rivaldo, amesema mshambuliaji wa klabu ya PSG Neymar, anatakiwa kuondoka katika ligi 1 ni ligi yenye hadhi ya chini na hatoshinda chochote cha maana akiendelea kubaki PSG.
"Ikiwa Neymar, hataondoka PSG, hatoshinda chochote ch a maana hasa uefa champion league ni taji muhimu .
" ligi 1 ni ligi yenye hadhi ya chini ukilinganisha na ligi za Spain, na England.
Neymar aliyesajiliwa na klabu ya psq msimu huu kwa kitita cha paundi million 198, na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji ghali duniani pia ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi hiyo nchini Ufaransa.
Neymar amekuwa akihusishwa sana na kujiunga na real Madrid, na Manchester united,kwa ada isiyopungua paundi million 200.
No comments: