Breaking

Didier Deschamp ataja kikosi chake kuelekea michuano ya kombe la dunia.

By Azizi-Mtambo 15

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamp,ametaja kikosi cha wachezaji 23 kuelekea michuano ya kombe la dunia nchini Urusi, mwezi ujao.


Goli kipa Hugo Lloris, Steven Mandanda, Alphanse Areola,

Mabeki Drijbil Sibide, Benjamin Mendy, Raphael Varane, Presnal Kimpembe, Adil Rami, Samuel Umtiti, Lucas Hernandez.

Viungo Paul Pogba,Ngolo Kante, Corentin Tolisso, Blaise Matuidi, Steven Nzonzi, Thomas Lemar.


Washambuliaji Klyian Mbappe, Oliver Giroud, Antonio Griezmann, Ousmane Dembele, Nabil Fekir, Florian Thauvin.


Huku akiwatema baadhi ya nyota kadhaa katika kikosi chake. Lazacette, Coman, Payet, Martial, Benzema.

No comments:

Powered by Blogger.