Breaking

Dimitry payet Akumbusha fainali za mataifa ulaya.

By Azizi-Mtambo 15


Mshambuliaji wa klabu ya Olympic Marseille, Dimitry Payet, ameshindwa kuendelea na mchezo wa fainali ya Europa katika ya Athletico Madrid dhidhi ya Olympic Marseille, Payet aliyepata majeraha ya misuli ya paja na kutolewa kipindi cha kwanza na nafasi yake kuchukuliwa na Lopez.












Payet, alipata majeruhi kipindi cha kwanza na alishindwa kuendelea na mchezo huo, huku akitolewa uwanjani akiwa analia na mchezo huo ukiwa unaendelea kulia kwa Payet, kumekumbusha wadau wa soka mbali mbali kukumbuka michuano ya michuano ya Ulaya kwa ngazi ya timu za taifa iliyo fanyika mwaka 2016, kule nchini Ufaransa.












Ulikuwa mchezo wa fainali wenyeji Ufaransa dhidhi ya Ureno, Dimitry Payet, alimchezea rafu mbaya mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, na alionekana analia huku akitolewa nje na madaktari hao, na nafasi yake kuchukuliwa na Ricardo Quaresma kipindi cha kwanza.












Payet Leo alionekana wakati anatolewa nje akimwaga machozi na akiwa na majonzi ndipo watu mbali mbali wakakumbuka tukio lilitokea mwaka 2016 kule Ufaransa kwenye michuano hiyo












Michuano ya mwaka 2016, Ulaya kwa kimataifa ilifanyika nchini Ufaransa, na mchezo wa fainali ya michuano ya Europa ilifanyika nchini Ufaransa.

No comments:

Powered by Blogger.