Youth Rostand, makosa yatakugharimu.
By Azizi-Mtambo 15
Youth Rostand, amekuwa goli kipa ambaye wakati anasajiliwa na klabu ya yanga, akitokea African Lyon, msimu wa mwaka 2016/17, chini ya kocha Mzambia George Lwandima, alisaini mkataba wa miaka 2 kuitumikia klabu hiyo ndo kwanza ana msimu mmoja na klabu hiyo wakati anasajiliwa wengi waliamini kuwa goli kipa huyu atakuja kuwasaidia klabu hiyo katika michuano ya kimataifa ambayo klabu hiyo hivi karibuni walikuwa wanafanya vibaya lakini amekuwa akifanya makosa makubwa mno akiwa golini hapo anasifa kubwa ya kuwa goli kipa kutokana na umbo lake kubwa, urefu wake, lakini amekuwa ndo sehemu kubwa ya matatizo.
Nimemshuhudia baadhi za mechi zikiwa za ligi kuu Tanzania bara,michezo kama dhidhi ya Singida united, Mbeya city,amekuwa mvivu mno kucheza mipira ya kona, Mpira ya adhabu ndogo, labda pengine ana mpinzani katika klabu ya yanga, ambaye ataweza kumpa changamoto ,sawa kuna Ramadhani kabwila?goli kipa mzuri anayechezea timu ya taifa chini ya umri wa miaka 20, anahitaji uzoefu wa hali ya juu kutokana na yanga kumuamini ni bado sana anahitaji mda?anatumiwa kama goal kipa wa akiba klabuni hapo kuna baadhi ya michezo ameanza kutokana na Rostand, kupata majeraha?michezo kama dhidhi ya Wallayta Dicha, uliofanyika Taifa jijini Dar es salaam.
Turudi kwa Rostand, katika michezo ya kimataifa tuanze na ule wa kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika dhidhi ya Roller Fc ship, uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam, mchezo huo uliishia kwa mabao 2_1 Yanga kufungwa, kutokana na uzembe wa goli kipa huyo amekuwa akifanya makosa ambayo yana wagharimu yanga, pale inapokutana na washambuliaji wajanja wenye ustadi mkubwa wa kufunga mabao .
Turudi kwenye mchezo wa Leo wa kombe La shirikisho barani afrika, yanga dhidhi ya Sport Rayon, mchezo huo ulikuwa wa kundi D , mchezo huo umeisha kwa sare ya 0-0 Rostand, amekuwa akifanya makosa na kama ingekuwa umakini wa washambuliaji wa Sport Rayon basi yanga,angefungwa bao 2 na kuendelea yanga,inahitaji aingie sokoni na kumleta kipa mwengine ataweza kuleta changamoto zaidi eneo la goli kipa.
Mwalimu mpya wa klabu ya yanga, Zahera Mwinyi, nilimsikia akisema Rostand, golikipa mzuri ila anahitaji apunguze makosa anahitaji kuwa makini zaidi kama anataka kujiha kikishia mamba.
No comments: