Fifa kuzipa timu za afrika misaada kombe la Dunia.
By Azizi Mtambo 15
Shirikisho la soka duniani FIFA, itatoa zawadi ya ya Dola milioni mbili kwa kila moja wapo katika timu tano za afrika zilizofuzu kucheza kombe la dunia, kuzusaidia katika maandalizi.
Amesema, Rais wa shirikisho la soka barani afrika, CAF, timu tano zilivofuzu kuelekea kombe la dunia Misri, Tunisia,Nigeria,Morocco, na Senegal zilifuzu kushiriki michuano hiyo itakayofanyika mapema mwezi ujao nchini urusi,.
Rais wa shirikisho la soka barani afrika, Ahmad, Ahmad alisema katika taarifa kwamba fedha hizo zitatumika katika shughulika mapema suala la bonansi za wachezaji migogoro juu ya malipo katika michuano iliyopita ilipelekea kuwepo na hali zilizoathiri vibaya taswira ya soka barani afrika, ikiwemo kama kiwango kikubwa cha utendaji wa timu viwanjani aliongeza ayo.
No comments: