Breaking

Liverpool mabingwa wa uefa msimu wa mwaka 2017/18.

By Azizi Mtambo 15










Shirikisho la soka uefa limefanya makosa ya kupost kwenye website yao kama Liverpool ndo mabingwa wa klabu bingwa ulaya 2017_18 ihali ikiwa bado fainali ya Liverpool na Real Madrid haijachezwa.







Tangazo hilo lilionekana juu kwenye kipengele cha historia iliandika Liverpool ndo mabingwa wa msimu wa 2017/18.








Watu wengi walishuhudia lakini sasa tayari washalifuta post hiyo.








Msimu huu kabla ya mechi kati ya Liverpool na Roma, kupangwa ,Roma walionekana walipost kwenye website yao kuanza kuuza tiketi za mechi yao na Liverpool siku moja kabla ya Droo na watu kuanza kuwa na wasi wasi kwamba Droo hizo zinapangwa kabla.






Liverpool itakipiga na Real Madrid, kwenye fainali ya michuano hiyo mei 26, Kiev na majogoo wa Anfield, wakitizama kuchukua ubingwa huo kwa Mara ya 6 huku mabingwa wa kihistoria real Madrid, wanataka kuweka historia ya kuchukua Mara 13.

No comments:

Powered by Blogger.