Breaking

Gor mahia uso kwa uso na Hull city ya nchini uingereza.

By Azizi Mtambo 15



Hull city, ambayo inashiriki katika ligi kuu daraja la pili nchini Uingereza,wamewasili leo hi nchini Nairobi kujiandaa na mchezo wao wa kirafiki kati ya Gor Mahia atakuwa nyumbani kumkaribisha Hull city, mchezo huo utapigwa Siku ya jumapili, katika uwanja wa Karasani.












Ziara ya klabu hiyo ya barani Afrika,imefadhiliwa na kampuni ya Kamare ya sport pesa, kutoka Kenya, ambayo ni mfadhili wa timu tatu tu.












Teyali Hull city imetuma ujumbe unaongozwa na mchezaji wa zamani Dean Windass, ziara ya Hull city, inajiri mwaka mmoja baada ya Gor Mahia,kucheza na kupoteza kwa mabao 2_1 dhidhi ya timu ya ligi kuu kule nchini uingereza Everton, katika mechi nyengine ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa kimataifa wa J.k ,Dar es salaam, Gor Mahia ilijikatia tiketi ya kucheza dhidhi ya klabu ya pili ya Uingereza chini ya mwaka mmoja baada ya kuishinda klabu ya AFC Leopard, 5_4 katika mikwaju ya penalty uwanja wa Afrah.

No comments:

Powered by Blogger.