Kocha wa timu ya taifa ya Brazil ataja kikosi chake kuelekea kombe la Dunia.
By Azizi-Mtambo 15
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil, Tite, ametaja wachezaji 23 , watakao kwenda nchini Urusi, kuelekea michuano ya kombe la dunia nchini Urusi mwezi ujao
Goal keeper, Alisson, kutoka Roma, Ederson, kutoka, Manchester city, na Cassio, kutoka, Corinthians.
Full back, Marcelo, kutoka Real Madrid, Danilo, kutoka Manchester city, Fellipe Luis, kutoka Athletico Madrid, Fagner kutoka, Corinthians.
Center back Marquinho,kutoka Psq, Thiago Silva, kutoka psq, Miranda, kutoka intermilan, Pedro Geromel,kutoka Gremio.
Viungo Willian, kutoka Chelsea, Fernandinho, kutoka Manchester city, paulinho, kutoka Barcelona, casamiro, kutoka Real Madrid, Countinho kutoka, Barcelona, Fred kutoka, shaktar, Renato Augusto kutoka, Beijing Guoan.
Washambhuliaji , neymar, kutoka psq, Jesus kutoka,Manchester city, Costa, kutoka juventus, taison kutoka shaktar.
No comments: