Psq yapata kocha mpya msimu ujao.
By Azizi-Mtambo 15
Klabu ya Paris saint German,imemtangaza kuwa kocha wao mpya Thomas Tuchel, mwenye umri wa miaka 44, ambaye amechukua mikoba ya Unai Emery, aliyetangaza kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu.
Tuchel, alifutwa kazi msimu huu mwanzoni anatarajiwa kuanza kuiona klabu hiyo msimu ujao amesaini miaka 2 kuiona klabu hiyo.
Unai, ameshinda kombe la Ufaransa, pia alitolewa robo fainali dhidhi ya Real Madrid , katika michuano ya uefa champion league msimu huu.
Kabla ya Tuchel, kupewa nafasi ya kuiona klabu hiyo, kulikuwa na makocha wengi ambao walikuwa wakionekana kuchukua mikoba hiyo, Massiliano Alegri, kocha wa juventus, Maurcio Pochettinho, kocha wa klabu ya Tottenham,.
No comments: