Kocha wa timu ya taifa ya England ataja wachezaji 23 kuelekea michuano ya kombe la dunia huku akiwatosa nyota kadhaa.
By Azizi-Mtambo 15
Kocha wa timu ya taifa England, Southgate, ametaja wachezaji 23 watakaoenda kushiriki michuano ya kombe la dunia itakayo fanyika nchini Urusi mwezi ujao.
Goal keeper.Jack butland, Jordan Pickford, Nick pope,
Mabeki. Alexander-Arnold, Gary cahil, Harry Marguire, Philip Jones, Danny Rose, kieran Tripper, Kyle walker, Ashley young,
Viungo Fabian Delph, Erick Dier, Jordan Henderson, Dele Ali, Jese lingerad, Ruben loftus cheek, Raheem Sterling,
Washambuliaji Harry Kane, Marcus Rashford, Dany welbeck, Jamie Vardy.
Huku akiwatema nyota wake wawili Jack Wilshire, na goli kipa wake Joe hart.
No comments: