Breaking

Sam allardyce afutwa kazi Everton.

By Azizi-Mtambo 15


Klabu ya Everton, inayoshiriki ligi kuu England, imemfuta kazi kocha wao.kocha huyo aliyedumu katikati timu hiyo kwa miezi 6.







Allardyce, alichukua nafasi ya Ronald Koeman, ambaye alifutwa kazi katikati ya msimu huu baada ya kupata matokeo mabovu katikati klabu hiyo.






Mpaka sasa ikiwa katikati ligi kuu klabu ya Everton, imemaliza nafasi ya 8, ikiwa imecheza michezo 38, kushinda michezo 13, kupoteza michezo 15, sare michezo 10, na ikiwa na alama 49 kwenye msimamo wa ligi kuu.




Klabu hiyo ya Everton, chini ya Sam Allardyce, imecheza.

Michezo 26

Kushinda 10

Sare 7

Kupoteza 9



Ameitoa kwenye msimamo wa ligi kuu England kutoka nafasi ya 13, mpaka nafasi ya 8.

No comments:

Powered by Blogger.