Kuelekea mchezo kati ya Gor mahia dhidhi ya Hull city.
By Azizi- Mtambo 15
Mabingwa hao Mara 16, wa soka nchini Kenya, Gor Mahia, wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi D wakiwa na alama 1 , baada ya kuzalimisha sare ya 1-1, dhidhi ya Rayon sport (Rwanda), kwa upande wao, USM Algiers, wanaongoza kundi wakiwa na alama tatu, baada ya kuitandika yanga (Tanzania) mabao 4_0.
Wakati huo huo, kikosi cha kogalo, kitashuka dimba la Karasani, katika mechi ya kirafiki, iliyopewa jina la Hull city, challenge mchezo huo utapigwa Leo saa 9 mchana.
Kogalo, walipata fursa ya kukipiga na Hull city, baada ya kuwafunga AFC Leopards, kwa matuta mjijini Nakuru.
Uwanja huo sasa ni Rasmini, kutumika Mashabiki wapatao 60,000 watapata fursa ya kushuhudia mechi ya kundi D ,kombe la shirikisho Afrika, kati ya Gor Mahia, dhidhi ya USM Algiers, ya Algeria, utakaopigwa Mei 16 mwaka huu jijini Nairobi.
Hi baada ya shirikisho la soka barani Afrika, CAF, kuridhika na hali ya uwanja wa Karasani, ambao ulikuwa umefungiwa kwa takribani miezi minne kupisha marekebisho.
Awali CAF,ilikuwa imeridhia uwanja wa Kenyatta, mjijini Machakos, utumike kwa ajili ya mtanange huo, lakini baada ya kuridhika na mwenendo wa zoezi la ukarabati, wa Karasani, shirikisho hill limepitisha uwanja kutumika kwa ajili ya mechi hiyo.
Ni habari, njema kwa wapenzi wa soka nchini, pamoja na mashabiki wa kogalo.
No comments: