Ligi kuu England kuendelea kutimua vumbi.
By Azizi-Mtambo 15
Ligi kuu England, kesho kufikia tamati michezo mbali mbali hutimua vumbi katika viwanja mbali mbali.
Burnley atakuwa katika uwanja wa nyumbani,Tufmoor kumkaribisha Bournemouth mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za afrika mashariki.
Crystal palace, atakuwa nyumbani kumkaribisha Westbromic katika dimba la Selhurst park , mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kamili kwa saa za afrika mashariki.
Huddersfield, atakuwa nyumbani katika dimba la Amex stadium kumkaribisha Arsenal, mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za afrika mashariki.
Liverpool, atakuwa nyumbani katika dimba la Anfield,kumkaribisha Brighton mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa afrika mashariki.
Manchester united atamkaribisha Watford, katika dimba la Old Trafford, mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za afrika mashariki.
Newscastle atakuwa nyumbani katika dimba la St James park, kumkaribisha Chelsea mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za afrika mashariki.
Southampton atakuwa nyumbani kumkaribisha Manchester city, katika dimba la St Mary's park, mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za Afrika mashariki.
Swansea city atakuwa nyumbani katika dimba la Liberty stadium, kumkaribisha Stoke city, mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za Afrika mashariki.
Tottenham atakuwa nyumbani katika dimba la Wembley stadium, kumkaribisha Leicester city, mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za Afrika mashariki.
Westham atakuwa nyumbani katika dimba la Upton park, kumkaribisha Everton, mchezo huo utapigwa majira ya saa 17:00 kwa saa za Afrika mashariki.
No comments: