Breaking

Kuelekea mchezo wa marudio wa nusu fainal ya uefa Asroma vs liverpool tufahamu mambo haya.

By Azizi Mtambo 15

Leo tarehe 2/05/2018, Leo kutakuwa na mchezo wa marudiano nusu fainali ya pili ya ligi ya mabingwa barani ulaya Asroma, atakuwa nyumbani katika dimba la Estadio Olympic, mjijini Roma.



Mchezo wa kwanza uliofanyika Anfield Liverpool walibuka na ushindi wa mabao 5_2 ulikuwa mchezo mgumu mno kwa pande zote mbili liverpool walionyesha umahili mkubwa kwenye mchezo huo.



Liverpool Leo wataingia uwanjani wakimkosa nyota wake Alex Oxlain Chamberlain, aliyeumia kipindi cha kwanza kwenye mchezo wake wa kwanza na nafasi yake kuchukuliwa na Georgio Wignadum,.



"Mchezo wetu dhidhi ya Asroma bado mgumu mno kutokana na timu hiyo imekuwa inapata matokeo mazuri kwenye uwanja wao wa nyumbani alisema kocha huyo".




Huku Asroma anahitaji kuonyesha kwamba kile alichokifanya kwenye robofainali kwa kumfunga Barcelona kwenye uwanja wake wa nyumbani hakubahitisha .




" Eusebio Di Fransceso akisema tunajua vizuri Liverpool wana safu nzuri ya ushambhuliaji ikiongzwa na salah,mane,n firmino, lakini pia wana safu mbovu ya ulinzi hayo ni maneno ya kocha wa Asroma kuelekea mchezo huo".



Liverpool msimu huu kwenye mashindano ya uefa msimu huu ajapoteza mchezo hata moja katika hatua yoyote.




Pia Asroma haijapoteza mchezo wowote katika uwanja wake wa nyumbani kwenye mashindano ya uefa msimu huu kwa hiyo kutakuwa mchezo wa kusimumua mno.


Huku Asroma alimfunga chievo Verona 4-1.




Katika ligi kuu zao Liverpool alicheza mchezo wake wa ligi kuu England dhidhi ya stoke city na mchezo kuishia kwa sare ya 0_0 .




Liverpool katika ligi kuu England

Michezo 36,

Alama 72,

Amefunga mabao 80,

Magoli ya kufungwa 37,

Kupoteza 4,

Sare 12,



Hizo ni takwimu za Liverpool katika ligi kuu England.






Asroma katika ligi kuu Italy maarufu kama series A.

Michezo 35,

Alama 70,

Kupoteza 7,

Kushinda 21,

Sare 7,



Hizo ni takwimu za Asroma katika ligi kuu Italy.





Huku Asroma, wakiwa na rekodi nzuri wanapocheza na timu za England uwanja wake wa nyumbani tuangalia Michezo yake basi.

Wameshinda 9,

Sare 3,


Kufungwa 4,





Nakumbusha kuwa Liverpool msimu huu wamekuwa na safu bora ya ushambhuliaji msimu huu katika mechi za uefa wamefunga mabao 28 ni wastani mkubwa mno



Salah mabao 10,

Firmino mabao 10,

Mane mabao 8,




Je Asroma au Liverpool kumfuata real Madrid kyiev mjijini Ukraine kwenye fainal ,fainali itapgwa mwezi huu tarehe 26

No comments:

Powered by Blogger.