Breaking

Maneno ya zidane kuelekea mchezo wa El-classico.

By Azizi Mtambo 15





Kocha wa klabu ya Real Madrid,Zinedine Zidane, amesema kuwa kuelekea mechi yao ya El-classico ambayo itapigwa Siku ya jumapili tarehe 6/05/2018 amesema kuwa utakuwa mchezo mzuri mno ila  amesititiza kuwa hawatowapigia makofi Barcelona kuelekea mchezo huo.






Barcelona wametangaza ubingwa wiki endi iliyopita baada ya kumfunga Deportive la Coruna, mabao 4_2 mpaka sasa Barcelona washatoa makombe mawili msimu huu ikiwa la liga na kombe la mfalme.







Huku kocha wa real Madrid, akisema kuwa wachezaji wake hawatokubali kuwapigia makofi Barcelona kwa kutangaza ubingwa huo kuelekea mchezo huo wa jumapili.

"Alisema kuwa Barcelona, walishindwa kuwapigia makofi real Madrid walivotwaa kombe la klabu bingwa wa dunia,".




Huku Barcelona, wakidai kuwa real Madrid hatukuwapigia makofi kwa sababu walitwaa ubingwa huo wakiwa nje ya Hispania, ndo maana tu hatuwapigia makofi real Madrid.



"Inaonekana kama vile Real Madrid, inataka kilipiza kisasi kutopiga makofi rais wa klabu ya Barcelona alisema hayo,".





Rais wa klabu Barcelona Joseph Bartmoreu, pamoja na ubishi huo kuwa real Madrid wamegoma kujipanga na kutupigia makofi huo sio utamaduni sie wakati real Madrid wanatwaa ubingwa huo wa la liga tulijipanga na kuwapigia makofi.




" huo sio utamaduni wakati ligi zote dunian pale timu inapotangaza ubingwa zikiwa zimebakia michezo kazaa huwa timu zinajipanga na kuwapigia makofi ni kama ishara ya kuwapongeza alisema rais wa klabu ya Barcelona,".




Barcelona wametwaa taji la liga Mara 7 katika misimu 10 ya la liga.




Real Madrid wameshaingia fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya na watacheza na Liverpool tarehe 26/05/2018 hapo mjijini Kiev Ukraine huko.

No comments:

Powered by Blogger.