Timu ya taifa ya Brazil yapata pigo kubwa kuelekea michuano ya kombe la dunia mwezi ujao.
By Azizi Mtambo 15
Beki wa klabu ya Paris saint German, na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves, mwenye umri wa miaka 33, atakosa michuano ya kombe la Dunia, itakayo fanyika nchini Urusi, mwezi ujao.
Beki huyo wa timu ya taifa ya Brazil, Daniel Alves, aliumia kifundo cha goti, Jumanne iliyopita katika mchezo wao wa kombe la Ufaransa.
Kwa mujibu wa Madakitari ,mchezaji huyo atakosa michuano hiyo pia vyombo vya habari vya Brazil, Globo Esporte,vimethibitisha kwamba kifundo cha goti la mguu wa kulia hakiwezi kurejea kwa muda huu baada ya kuumia.
No comments: