Breaking

Timu ya taifa ya Ufaransa yapata pigo kubwa kuelekea kombe la Dunia.

By Azizi Mtambo 15




Beki na nahodha wa ya Arsenal,Laurent Konchely, mwenye umri wa miaka 32,amepata majeraha ya kifundo cha mguu katika mchezo wao wa nusu fainali wa marudiano dhidhi ya Atletico Madrid, .









Mchezaji huyo aliyegonga na Diego Costa, wakati wakiwania mpra alitolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Chambers, kipindi cha kwanza mchezo huo Arsenal, walifungwa bao 1-0 na kutupwa nje kwenye na Athletico kwa jumla ya mabao 2_1.









Hata hivyo Laurent , atakuwa nje kwa muda wa miezi 6 , hivo basi atakosa michuano ya kombe la Dunia itakayo fanyika nchini Urusi, mwezi ujao, na kukosa baadhi ya michezo ya ligi kuu England msimu ujao.












Hata hivyo kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa,Didier Deschamps, amesema kuwa taifa hilo limepata pigo kubwa kwa kumkosa mchezaji huyo kuelekea kombe la Dunia.










No comments:

Powered by Blogger.