Breaking

Kuelekea fainali za kombe la dunia tufahamu wachezaji wenye umri mdogo zaidi kuelekea fainali hizo.

By Azizi -Mtambo 15.

Daniel Arzani,  huyu ni mshambuliaji anayechezea katika klabu ya Marboune City,  inayoshiriki ligi kuu Urusi.pia anachezea timu ya taifa ya Australia,  akiwa na umri wa Miaka 19, na siku 162.

Kylian Mbappe,  huyu ni mshambuliaji anayechezea katika klabu ya Paris Saint Germain,  inayoshiriki ligi kuu ya Ufaransa. Pia anachezea timu ya taifa Ufaransa,  akiwa na umri wa Miaka 19 na siku 176.

Achraf Hakimi, huyu ni kinda ambaye anachezea Real Madrid ya watoto pia msimu huu kuna baadhi za mechi amechezea Real Madrid kubwa inayoshiriki ligi kuu Spain.pia anachezea timu ya taifa Morocco,  akiwa na Umri wa Miaka 19, na siku 222.

Francis Uzoho,  ni kipa wa klabu ya Derpotive La Coruna ,inayoshiriki ligi kuu Spain.pia anachezea timu ya taifa Nigeria,  akiwa na umri wa Miaka 19, na siku 229.

Trent Alexander Anord,  huyu anachezea klabu ya Liverpool,  inayoshiriki ligi kuu England.pia anachezea timu ya taifa ya England,  akiwa na umri wa Miaka 19, na siku 276.

No comments:

Powered by Blogger.