Tufahamu kiwanja cha nane kitakachotumika kwenye fainali za kombe la dunia.
By Azizi -Mtambo 15.
Zikiwa zimebaki siku 7 kuelekea kuanza fainali za kombe la dunia zitakazo tumia vumbi nchini Urusi, Mwezi huu.
Leo tunachambua kiwanja namba nane kitakacho tumia kwenye fainali hizo.
Ekaterinburg Arena.
Uwanja huu upo Urusi, uwanja huu ulijengwa na kufanyia tena marekebisho Mwaka 2018, kuelekea fainali hizo.uwanja huo unaingiza idadi ya watu 35,000.
Baada ya kumalizika fainali za kombe la dunia utapunguzwa nafasi za kukaa ndani ya uwanja na utakuwa unaingiza mashabiki wapatao 23,000 .
Kabla ya ujafanyiwa marekebisho uwanja huo ulitengenezwa Mwaka 1956.uwanja huo unapatikana katika mjiji ambao unaitwa Ekaterinburg, mjiji huo una idadi ya watu wapatao 1.4 Million.
Ulifanyiwa marekebisho mara nne Mwaka 2006-11, 2014-17, 2010, na 2018,
Baada ya kumalizika fainali za kombe la dunia timu itakayotumia uwanja inaitwa Fk Ural, inayoshiriki ligi kuu ya Urusi.
Kuelekea fainali za kombe la dunia uwanja huo zitachezwa mechi nne za makundi pamoja na 16 bora na robo fainali.
Egypt
Vs
Uruguay.
Mchezo huu utapigwa Juni 15.
France
Vs
Peru.
Mchezo huo utapigwa Juni 21.
Japan
Vs
Senegal.
Mchezo huo utapigwa Juni 24.
Mexico
Vs
Sweden.
Mchezo huo utapigwa Juni 27.
No comments: