Breaking

Tuangalie mpira utakaotumika kuelekea michuano ya kombe la dunia.

By Azizi -Mtambo 15.

Zikiwa zimebakia siku kadhaa kuelekea fainali za kombe la dunia itakayo fanyika nchini Urusi.

Leo tuchambue mpira utakaotumika kuelekea michuano ya kombe la dunia.

TELESTAR 18.

Mpira huo ndo utakaotumika kuelekea kwenye fainali za kombe la dunia.

Mpira huo umetengenezwa na kampuni ya Ujerumani,  ambayo inatengeneza vifaa vya michezo vya Adidas.

Mpira huo ulitengenezwa Mwaka 1970, unaitwa Telestar ulianza kutumika katika fainali iliyofanyika nchini Mexico.

Mpira huo unauzwa Dolla za Kimarekani,  ambazo 100 sawa sawa na shilling 2,2700 za Kitanzania.

Mpira huo umetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu na ubora ukifananishwa na mpira uliotumika kombe la dunia Mwaka 1970.

Mpira umeekwa na miscrope ndani yake ambayo unaweza kuattrack spidi ya mpira na una uwezo wa kufika mbali ukipigwa hewani pia unakifaa kuattrack mpira huo.

Adidas,  ndo mpira wa pili kutengenezwa katika michuano ya kombe la dunia.

Mpira wa Kwanza ulitengenezwa Mwaka 1970, ulitengenezwa na rangi nyeupe,  na nyeusi,  ili iweze kuwasaidia mashabiki watakaotizama kupitia runinga waweze kuona mpira kirahisi kwa sababu zamani runinga zilizokuwa zinaonyesha nyeupe na nyeusi.

Nakumbusha kidogo Fainali za kombe la dunia zilizofanyika nchini Mexico, mpira uliotumika ulikuwa unaitwa Telestar,  na mpira wa Mwaka 2018, fainali hizo utatumiwa mpira wa Telestar 18.

No comments:

Powered by Blogger.