Pep Guardiola ,aishitukia Barcelona.
By Azizi -Mtambo 15.
Kocha wa zamani wa klabu ya Barcelona, Pep Guardiola, imeripotiwa kupitia mtandao wa Daily Com. Amesema kuwa hatokuja tena kuifundisha klabu Hiyo.
Guardiola, ambaye alishawahi kuifundisha klabu ya Barcelona, kuanzia Mwaka 2008 -12, ameshinda mataji 14 kwa ngazi ya ukocha yakiwemo amechukua makombe Kama UEFA Champions mara mbili, Kombe la ligi kuu la liga mara 3,Copa Del rey.
Guardiola, aliondoka klabuni hapo Msimu wa Mwaka 2012, baada ya mkataba kumalizika.
Guardiola, ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya Manchester City, iliyopo nchini Uingereza, ameshinda tayari makombe mawili na klabu hiyo yakiwemo kombe la ligi kuu England, na kombe la Capital one.
Kauli ya kocha huyo iliibua maswali mengi kwa nin ameamua kutoa uamuzi huo.
No comments: