Breaking

Uchambuzi kuelekea mechi ya ufunguzi wenyeji Urusi, dhidi ya Saudia Arabia.

By Azizi -Mtambo 15.

Fainali za kombe la dunia zinaanza leo huko nchini Urusi,  mchezo leo utakuwa moja tu kwa ajili ya ufunguzi wa fainali Hizo.

Urusi,  kuelekea mechi ya ufunguzi wanamkosa mshambuliaji wao Aleksander Kokorin,  ni pigo kubwa kwa wenyeji ambao wameandaa fainali hizo hivyo kumtegemea Aleksandor Golovin,  ambaye ndiye mshambuliaji wao hatari zaidi.


Russia,  wana majeruhi wengi hivyo wameamua kumleta mchezaji aliyekuwa amestafu katika mashindano ya kimataifa Sergei Ignashevich,  mwenye umri wa miaka 38, kutokana na idadi ya majeruhi walionayo hasa katika eneo la ulinzi na wanatarajia kuanza mechi ya ufunguzi.

Nyongeza zaidi ya kikosi chote cha Urusi, wachezaji wengi wanacheza ligi kuu ya Nyumbani au ligi kuu ya Urusi, ila wameongeza mchezaji kutoka klabu ya Villarreal,  inayoshiriki ligi kuu Spain, maarufu kama la liga Denis Charyshev,  na mwengine kutoka klabu ya Bruggle ya Ubelgiji, Vladimir Gabulov,  ili kuongeza uzoefu.


Kocha wa Saudia Arabia,  Juan Antonio Pizza, anakutana na hali ya sintofahamu katika kuchagua kikosi haswa eneo la ushambuliaji.

"amesema timu yake haiogopi kucheza mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya Urusi,".

Kumbukumbu zaidi.

Timu hizi mbili zilikutana Mwaka 1993, katika mechi ya kirafiki na mchezo huo kumalizika  Saudia Arabia,  kushinda mabao 4-2, akiwa nyumbani.

Vikosi vyao vya leo.

Urusi.
Aknferv,  Zhrhov,  Ignashevic,  Fernandez,  Golovin, Antonio Miranchuk,  Zobrinin,  Sapnedov,  Dzagoev,  Smolov.

Saudia Arabia.

Arabia, A-Muaiofi. Al-Burayk, Al-Boleahi,  Hawasawi,  Alharbi,  Arfaraj,  Al-Khaibaria,  Kannon, Al-Jasmin,  Al-Shehri,  Al-Salhow.

No comments:

Powered by Blogger.