Tufahamu kiwanja cha kumi na moja kuelekea fainali za kombe la dunia nchini Urusi.
By Azizi -Mtambo 15.
Zikiwa zimebakia siku nne kuelekea fainali za kombe la dunia zitakazo fanyika nchini Urusi, leo tunaangaliwa kiwanja cha kumi na moja kitakachotumika kwenye fainali hizo.
Spartak Stadium, uwanja huo unapatika nchini Urusi, pia utatumika kwenye fainali hizi za kombe la dunia.uwanja huo upo katika mji wa Moscow, ambao una watu takribani wapatao Million 12.3 .
Uwanja huo unaingiza idadi ya watu wapatao takribani 42,000 mpaka 45,000 umejengwa Mwaka 2010, kwa Gharama za pesa za Kirusi, ambazo ni Rubles Billion 14, sawa sawa na kiasi za Kitanzania shilling Million 504.
Uwanja huo upo kilometer 40 kutoka mji wa Moscow, mpaka ufike uwanjani.
Toka Mwaka 2014, uwanja huo ulikuwa unatumiwa na klabu inayoshiriki ligi kuu ya Urusi, Spartak Moscow, ambayo ilikuwa zikichezea mechi za nyumbani pia uwanja huo ulikuwa unatumiwa katika mechi za uefa champion league na mechi za Europa.
Pia uwanja huo umetumika katika mechi za kimataifa za Urusi, pia Mwaka 2017,zilichezwa mechi nne za makundi kombe la Mabara.
Kuelekea fainali za kombe la dunia zitachezwa mechi tano zikiwemo nne za makundi na 16 bora.
Argentina
Vs
Iceland.
Mchezo huo utapigwa Juni 16.
Poland
Vs
Senegal.
Mchezo huo utapigwa Juni 19.
Belgium
Vs
Tunisia.
Mchezo huo utapigwa Juni 23.
Serbia
Vs
Brazil.
Mchezo huo utapigwa Juni 27.
na 16 bora utachezewa uwanja huo.
No comments: