Breaking

Tuangalie sehemu ya pili ambacho kiwanja kitakacho tumia kwenye michuano ya kombe la dunia

By Aziz -Mtambo 15


Zikiwa zimebakia siku 15 kuelekea michuano ya kombe la dunia,  itakayo fanyika nchini Urusi,  Mwezi huu ikiwa leo ni Tarehe 1/06/2018.


Shirikisho la Soka duniani FIFA,  limechaguwa viwanja 12 vitakavyo tumika kwenye michuano hiyo jana tuliangalia kiwanja kimoja, leo tuna hamia kiwanja chengine kinachoitwa.

Luzhniki Stadium,  hu ndio uwanja wa taifa katika nchi ya Urusi,  pia uwanja huo ulitengenezwa Mwaka 1955, na uligharimu kiasi cha  Euro million 350, ulitumia Mwaka moja tu kutengenezwa  na ulifunguliwa kwa mara ya Kwanza Tarehe 31/06/1956, uwanja huo unachukua idadi ya watu 81,000 .


Uwanja huo upo katika eneo la Wilaya ya Khamovniki huko mjijini Urusi,  pia uwanja huo unamilikiwa na Serikali ya Urusi,  unatumika katika shughuli za kitaifa tu.

Kabla ya kupewa jina la Luzhiniki Stadium,  ulikuwa unaitwa Central Lenin,  stadium,  pia una cover  hekari 180 alafu pia upo pembeni na mto wa Moska.

Uwanja huo umefanyiwa ukarabati mara tatu ndani ya Mwaka 1996-1997, 2001-2004, na 2013-2017, walio design uwanja huo na kujenga ni PA Arena, Gmp Archiketen na Mosproject -4.


Kuelekea michuano ya kombe la dunia zitapigwa michezo saba na ikiwemo mchezo wa ufunguzi.

Russia

Vs

Saudi Arabia.

Mchezo huo utapigwa Juni 14.

Germany

Vs

Mexico.

Mchezo huo utapigwa Juni 17.

Portugal

Vs

Morocco.

Mchezo huo utapigwa Juni 20.

Den Mark

Vs

France.

Mchezo huo utapigwa Juni 26.

na ikiwemo michezo ya mtoano ikiwa nusu fainali,  na fainali yenyewe.

Mwaka 1980, mashindano ya Olympic yalifanyika katika uwanja huo pia Mwaka 1999, ulifanyika fainali ya uefa kipindi hicho lilikuwa linaitwa kombe la washindi ilikuwa Bayern Munich dhidi ya Manchester United.


Pia Mwaka 2008, ulitumiwa tena kucheza fainali ya uefa kati ya Manchester United dhidi ya Chelsea.

No comments:

Powered by Blogger.